Habari za muda huu,
Leo sina maelezo mengi nimekuwekea mkeka wa bei za jumla za mbao size zote kwa wilaya ya Njombe kwa wafanyabiashara wanaotaka kujumua na kwenda kuuza mikoa mingine kama Dar es salaam, Dodoma, Mtwara, Pwani
BEI ZA MBAO KAVU
• 2×2 Futi 12 ~ 1,000/=
• 2×3 Futi 12 ~...
Habari zenu wadau wa jukwa la biashara.
Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu.
Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge kwa Bei ya jumla,NAMI kwenda kuuza kwa Bei ya lejaleja.
Naomba msaada wenu tafadhari
Natanguliza...
Hello Jf
Spare zote za Bajaji na pikipiki kama
↔️ tyre
Rim
Bush
Bearings
Plugs
Engine mount
Block
Piston and Rings
Valve
Cylinder head
Brake shoe
Master brake
Rubber
Brake
Shock ups
cable gear
clutch plates na center yake
Maker
etc
Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
Habari wakuu,
Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu.
📌 Vigezo ninavyohitaji:
Kuku wa...
Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale.
Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa.
Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida.
nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
JINA LA KITABU:
“Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”
UTANGULIZI:
Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba.
Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu
Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 9,000 Tu.
Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.
Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
MAWASILIANO
Simu 0782589717
Isipo...
Habari wakuu!
Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP"
Trei 1 nauza 8,500
Napatikana Mbezi Luis
Simu : 0744 767 175 whatsap pia
Habari,
Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm
Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
Habarini wanaJF, naomba msaada mwenye kujua kuhusu biashara hii anipe abc. Nina mtaji wa laki nne nataka niagize nazi niiuze bei ya jumla kwenye masoko mfn. Ilala, Temeke au BugurunI
Habari za asubuhi wanajamii
Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi ndoo ya lita10
3. Foili
4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake.
Kama upo tayari naomba...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
Habari wa JF.
Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.