bei nafuu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  2. screpa

    JamiiForums Tanzania KISS OF LOVE 'Body Splash' nazipata wapi kwa bei nafuu?

    Hizi Body Splash zinapendwa sana na watu wa vipato vya kawaida ambao ndio wengi, changamoto ni kwamba zimepanda bei na hii ni kwasababu ya demand kuwa kubwa. Je muuzaji mkubwa wa hizi Body Splash hapo Dar ni nani nione kama naweza kuzipata kwa unafuu, maana nimezoea kununua kwa wauzaji wa...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  4. Fibonacci

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Research Proposal, Thesis, Data Analysis na Assignments kwa Bei Nafuu – Vionex Solutions

    Unahitaji msaada wa kitaalamu katika uandishi wa Research, Data Analysis, Assignments, au Documents mbalimbali? Vionex Solutions tunakupa huduma bora na nafuu — tutaandaa kazi yako kwa umakini na viwango vya juu! Wasiliana nasi leo: WhatsApp / Simu: 0615 044 338 Email...
  5. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni puna beach plots&residential plots

    Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡 Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800 🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni 📍 mradi upo umbali wa: Km 38 kutoka Ferry Km 35 kutoka Daraja la Nyerere Mita 500 kutoka barabara kuu Mita 650 kutoka baharini 🌊 💰 Bei: 1 sqm = TSh 22,000...
  6. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  7. MoseeYM

    JamiiForums Tanzania Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
  8. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza subwoofers, soundbars, home theater, speakers kwa bei nafuu

    Katika uzi huu nitakua naweka subwoofers,soundbars,home theater,speakers na radio za brand tofauti tofauti . Nitakua nauza bei nafuu kuliko mahali popote Tanzania hii utachagua bidhaa na kuletewa popote ulipo 0614228735
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

    Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba 0765137266 Bei Tsh 430,000
  11. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    NB:Angalia post za mbele kwa fridge latest na Bei mpya Uzi huu ni kwaajili ya friza na friji za aina zote. Friji za kawaida kwaajili ya nyumbani✅ Fridge za biashara (showcase fridge)✅ Freezer za kawaida✅ Freezer za kioo (show case freezer)✅ Tupo kariakoo mtaa wa Ndanda 📍 Whatsapp 0614228735...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wap ni chimbo la TV bei nafuu Mwanza

    Naomba kujua chimbo la TV nzur ,smart ambazo bei NI nafuu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa Trump: Je, vitu kuwa bei nafuu ni Tatizo?

    Katika lawama za wachina kuwepo nchini, reference ya watu wengi ni vitu kuwa bei nafuu. Kwa miaka kadhaa watu wamelalama vitu kuwa bei juu inakuwaje sasa watu wanaanza kulaumu vitu kuwa bei nafuu? Je, wanaolalama vitu bei nafuu ni kwa manufaa ya nani? Suala la soko la ndani hoja nyingine...
  15. Yofav

    JamiiForums Tanzania Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  17. Top007

    JamiiForums Tanzania Nauza bulb Kwa bei nafuu

    Kampuni: Honor LED Watts 3 - 10,000 PC 10 Watts 5 - 12,000 PC 10 Watts 7 - 13,000 PC 10 Watts 9 - 14,000 PC 10 Free Delivery piga : 0614502969 Dar na mikoani
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tunasaidia kufanya usajili wa Kampuni kwa bei nafuu

    Sajili kampuni yako sasa kwa 350,000 Tutakusaidia usajili 1. Brela utapata cheti haraka 2. TRA makadirio madogo ya kodi 3. Maombi ya leseni Yote haya kwa 350,000 Kwa mawasiliano zaidi 0765042935 piga/WhatsApp
  19. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Jipatie Epson printer L3250 kwa bei nafuu

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:printing,scanning and photocopying Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Malazi ya bei nafuu nchini Rwanda na Burundi!

    Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi. Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya: 1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi) 2. Gesti za bei nafuu lakini salama katika miji ya Kigali nchini Rwanda, Bunjumbura nchini Burundi, na Gitega nchini Burundi. Naamini...
Back
Top Bottom