bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

    VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

    Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

    Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga . Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha...
  5. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

    Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces)
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: BAVICHA yawaapisha vijana wa Sumbawanga kiapo cha utayari

    Kiapo kiliongozwa na Twaha Mwaipaya , kijana ambaye nyota yake ya uhamasishaji kwa muda mfupi aliopewa madaraka inatisha mno !
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia Mkutano wa ndani wa Bavicha Sengerema

    Hii hapa nukuu ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kwa wanaccm mwaka 2012
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : BAVICHA yatetemesha Morogoro

    Acheni tu siasa ziendelee kupigwa marufuku , maana zikiruhusiwa visukari vya watu vitapanda mara dufu . Hapa ni mkoani Morogoro kwenye Kikao cha ndani cha BAVICHA, ambayo imebainika sasa kuwa ndio Taasisi ya vijana inayoongoza barani Africa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Patrick Ole Sosopi akihutubia Kamati ya Utendaji ya Bavicha Taifa

    December 08, 2019 Dar -Es-Salaam, Tanzania Mh. Patrick Ole Sosopi akihutubia Baraza Tendaji la Vijana wa CHADEMA Akitoa hotuba iliyoteka hisia za wasikilizaji amewataka Vijana wa CHADEMA ambao amesema ndiyo BARAZA KIVULI LA VIJANA WOTE TANZANIA tofauti na UVCCM ambao ni wasemaji wa makada wa...
  10. Emmanuel J. Buyamba

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Katibu Mkuu BAVICHA 2019: Upepo wamwendea vizuri CPA Kitalika Titho

    Wanazengo salaam. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kinachoendele katika uchaguzi ndani ya BAVICHA hasa kwa wagombe sita wanaofahamika yaani huyu CPA KITALIKA, Hemed ALLY, Simbeye Edward, Nusrate Hanje, Gwamaka Mbughi na Chacha Machera. CPA Kitalika, Gwamaka na Chacha hawakabiliwi na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu Bavicha: Ni mpambano wa Alphonce Lusako na Mdude Nyagali

    Ni mpambano mkali. Ndivyo tunavyoweza kusema ukitizama watia nia wanaogombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Baraza la Vijana Chadema BAVICHA ndicho chombo kikuu kinachowasemea vijana si ndani ya chama tu bali Taifa kwa ujumla. Pia Baraza hili limekuwa likiwapika vijana kuwa viongozi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

    Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu . Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
Back
Top Bottom