Patrick Ole Sosopi akihutubia Kamati ya Utendaji ya Bavicha Taifa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,285
24,158
December 08, 2019
Dar -Es-Salaam, Tanzania

Mh. Patrick Ole Sosopi akihutubia Baraza Tendaji la Vijana wa CHADEMA

Akitoa hotuba iliyoteka hisia za wasikilizaji amewataka Vijana wa CHADEMA ambao amesema ndiyo BARAZA KIVULI LA VIJANA WOTE TANZANIA tofauti na UVCCM ambao ni wasemaji wa makada wa CCM tu.

Hivyo vijana wa CHADEMA kwa nafasi hiyo inabidi wanapotoa matamko na kujibu maswali lazima waonekane tofauti maana taifa zima la vijana wa Kitanzania wanawategemea




Source: Chadema Media TV
 
1576108322602.png

Wajumbe wa mkutano wa Baraza la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema (Bavicha)
 
Yuko vizuri sana. Anaonekana kabisa kuwa anacho kizungumza anakiamini na kinatoka moyoni. Hongera zake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu Sosopi keishaomba sana kwenda CCM. Naamini sasa ni wakati muafaka. Na ninyi BAVICHA sasa hivi mnamsifia. Akiondoka mnaanza kuloloma, oh tuliishamjua ni msaliti. Semeni sasa kabla hajaondoka, maana ni suàla la muda tu anatinga chama kikubwa CCM!!
 
magu2016,
Ila kwakweli kua uone, Lema alisema Rais atakufa kabla ya mwaka lkn siku ile mwanza anapiga vibega wenzake ili amshike mkono mtu anaemtakia kifo cku zote, hii ndo ujue sikila alitaye jina labwana mungu ataiona pepo. Eti nimeonyeshwa!!!! Lemaaaaa
 
Hapo ndipo unaweza kuona mzigo ulio mbele yako ilivyo mzito... hongereni sana vijana ila kazi mliyoomba ni nzito mno..Taifa linapita kwenye mapito makubwa - mnahitaji alternative way of thinking kuwakomboa vijana wa kitanzania ambao wenggi wao wameanza kukata tamaa - ni kazi nzito sana ila ni lazima ifanyike hamna namna.
 
Vipi ulitudanganya kuwa kwenye sikukuu ya Uhuru Mwanza Chadema itafunika lakini badala yake tukaona hakuna kitu bali wakina Lema na genge lake wamekaa kama mazoba na walipoitwa kumsalimia ngosha Mh. Rais nikaona Lema na genge lake wanakimbilia kushika mkono wa mbarikiwa Mh. Rais. Unajisikiaje kila ukimwomba Mungu sala zako hajibiwi kabisa.
Magufuli analaana wajinga sana nyinyi CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom