Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
221
431
Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces)
 
Attachments

  • 288036BC-2C1B-4427-A8BB-283D7B14235E.jpeg
    288036BC-2C1B-4427-A8BB-283D7B14235E.jpeg
    40.1 KB · Views: 7
Kwa taarifa yako Kikosi maalumu cha Magereza hata FFU aende shule ya PHD ya mazoezi ya Viungo hawapati ng'ooo.
Kile kikosi kimekamilika kila Idara kuanzia matumizi ya Viungo mpaka matumizi ya Silaha, isingekuwa hivyo hao Majambazi Sugu, Makomando, Wachina wacheza taekondo wangesumbua gerezani lkn weeeeeeeeeee kichapo tuuuu.
 
Sasa nani mkali polisi anaenda kuwakamata wakiwa kwenye free zone, wakiwa hawajaumizwa, wakiwa na silaha na magereza anayekuja kuwatunza wakiwa tayari wamelegezwa na polisi, wameisha wanyanganaya silaha na kuwatia pingu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KM kazi yake ni kutuliza ghasia zinazosababishwa na wafungwa.
FFU kazi yake ni kutuliza ghasia zinazosababishwa na raia.
.
Mnajadili kishabiki sana unapoanza kumlinganisha KM na FFU ni makosa makubwa unafanya hakuna anayeshindana na mwenzake wote wanatekeleza majukumu yao katika idara zao.
Huwezi kutuliza ghasia kwa raia kwa mtindo wa kutuliza ghasia kwa mnyoli.
 
Sasa nani mkali polisi anaenda kuwakamata wakiwa kwenye free zone, wakiwa hawajaumizwa, wakiwa na silaha na magereza anayekuja kuwatunza wakiwa tayari wamelegezwa na polisi, wameisha wanyanganaya silaha na kuwatia pingu.

Sent using Jamii Forums mobile app
This is a mistake you're trying to made, Police ana mafunzo maalumu ya namna ya kukabiliana na wahalifu wenye silaha na wasio na silaha haya mafunzo P.O hana ndio maana wamejaribu kidogo tu kudili na raia wamewaumiza vibaya sana.

P.O ana mafunzo maalumu ya kumrekebisha tabia mnyoli kwa njia zote Askari polisi hana mafunzo ya kumrekebisha mtu tabia ndio maana huwezi kukuta Polisi anaitwa mzee na muhalifu au mfungwa ila P.O muhalifu yoyote atamuita mzee!
 
trying to made X
It is trying to make.
 
Back
Top Bottom