basi

  1. Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  2. January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba, kama mna ndoto za kuja kuwa Marais kwenye Nchi hii basi futeni hizo ndoto

    Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni. Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
  3. C

    BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

    Happy Sunday🖐🥰 Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto. T. I. A🙏
  4. Yanga Basi tuna pesa tunawanunua mpaka Simba?

    Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi? Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu...
  5. Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  6. Hassan Dilunga HD, ndiyo basi tena?

    Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
  7. Kwa vile bado tupo hai basi tujifunze haya

    Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi lakini mawili ni muhimu zaidi. 1. Kujielewa yeye ni nani na anahitaji nini. 2. Kujithamini kabla ya kuthaminiwa. Ukishafahamu hayo kila kitu utakiweka panapostahiki. Kuna watu wa kila aina ndani ya jamii zetu. • Kuna waungwana • kuna watwana...
  8. Yanga wakitumia angalau nusu ya Nguvu wanayotumia Wakicheza na Simba basi watunisia wanatoka!

    sina mengi , Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba, Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi! Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu, Game inaisha Kwa mkapa...
  9. Kama jambo hilo ni la kweli basi ipo hatari ya amani kutoweka Mbarali

    Rais Samia likatae hilo jambo kwa maslahi mapana ya wananchi wa Mbarali.
  10. N

    Dah! kwahiyo wadau Mzee Yusuph ndo basi tena na taarab yake!

    Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani. Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
  11. Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  12. Hamtaki kujiingiza kwenye Siasa basi acheni waliojiingiza huko wale na Watoto wao

    HAMTAKI KUJIINGIZA KWENYE SIASA BASI ACHENI WALIOJIINGIZA WALE WAO NA WATOTO WAO Na, Robert Heriel Waacheni warithishane madaraka, waacheni wapeane vyeo. Mlitaka wafanyaje? Wao ni wanasiasa na watawala mlitaka wawape watoto wao nini kama sio mambo hayo. Haiwezekani watu wahangaike na siasa...
  13. Ronaldo kama ataendelea na tabia zake za ovyo basi atajipotezea heshima yake ndani ya Dunia ya Soka

    Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford. Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
  14. N

    Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika. Hata kama uamuzi wa kuleta kocha ni wa wote kwenye bodi, ila CEO ndiye atabeba lawama au pongezi...
  15. Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  16. Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

    Baba mchungaji songa mbele tu wala usirudi nyuma
  17. Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  18. Jemedari Said: Kipa wako akiwa "Man of the Match" basi mjue mlizidiwa

    Comment ziwe fupi fupi tafadhali.
  19. Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
  20. D

    Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

    Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali! Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi! Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini) Kuna uwezekano mama mchuu aliona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…