barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabasi 150 ya Mofat yatimiza nusu mwaka bila kuingia barabarani

    tokea masaa 5 Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi. Hayo yameelezwa leo Jumatano, Mei 6, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Lindi Mkoa mzima hakuna mataa yakuongoza magari barabarani!

    Tuachane na mataa. Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
  3. JamiiForums Tanzania Pesa inayopatikana kwa makosa ya barabarani ipelekwe kufanya marekebisho madogo madogo ya barabara!

    Kama Trafiki polisi wa Mafinga wakilipisha kosa dereva, ile hela sio mali Jeshi, iende pale pale Mafinga kusolve ishu ndogo mfano kupaka rangi Zebra zilizofutika, kuweka vibao, etc kwa kifupi irudi kwa community. Kitendo cha kuigeuza mali ya jeshi naona kama sio sawa.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS imeridhia ujenzi huu eneo la barabarani karibu na Ofisi ya DC Ubungo?

    Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  9. JamiiForums Tanzania Ukikamatwa na Afisa wa LATRA barabarani, tulia kama unanyolewa. Sheria imewapa nguvu sana

    Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma. Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka. Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua. Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania E-Kesi Barabarani: Kenya Yazindua 'Instant Fines' System ya Traffic

    Serikali, through NTSA, imeanza digital traffic enforcement system mpya inayotumia smart cameras kukamata makosa barabarani. Kama umeenda kasi, hukufunga seatbelt, au umevuka lane ovyo, system itakurekodi instantly na kukutumia SMS notification ikiwa na details za offence na fine unayotakiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  12. JamiiForums Tanzania Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hai: Mwekezaji kijiji cha Mbosho, Kata ya Masama Kati amepanda uzio wa miba uliosogea barabarani na kupelekea njia kuwa nyembamba

    TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuingia barabarani kusheherekea ukombozi baada ya kifo cha Ayatollah

    Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  16. JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  17. JamiiForums Tanzania Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

    Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani. Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea...
  18. JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  19. JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…