barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodaboda: Furaha za punguzo la adhabu ya makosa ya barabara imepotea?

    Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche. Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
  2. J

    Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

    Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi. ---- Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB). Waziri wa Fedha na...
  3. R

    Barabara ya Dar - Arusha kuna Hoteli nzuri za kisasa maeneo ya Korogwe

    Nitoe hongera kwa uwekezaji wa hotel /motel zilizopo Korogwe zinazohudumia Wasafiri wa kutoka Dar-Arusha. Kiukweli japo bei ya vyakula ni juu kiasi ila nimeupenda huu uwekezaji, nashauri na maeneo mengine waige uwekezaji huu mzuri.
  4. Barabara ya njia nne Arusha Inufaishe waendesha vyombo vya moto pia

    Kwa wale wageni Arusha, Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi. Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
  5. M

    Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  6. Unaunga mkono hoja hii ya majina ya barabara

  7. Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  8. K

    LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  9. B

    Tsh Milioni 500 zinazotangazwa na Wabunge kwamba zimetolewa na Rais mnazielewa?

    Hizi fedha zinajenga barababara ukubwa gani? Kwanini fedha hizi kwa idadi ya majimbo tuliyonayo zingekabidhiwa TARURA ZIKAJENGA barabara kwa kuzingatia kipaumbele Cha Tarura kuliko kutawanya fedha kwenye kukwangua barabara ambayo mvua ikinyesha mara moja zinarudia Hali ileile. Hizi fedha...
  10. Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

    Rais Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi. Kuna vitu wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo. Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, halafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo. Hapa Rais Samia...
  11. Spika Ndugai 2025 sio mbali, ni kweli kuongeza tozo za miamala kutapeleka zahanati, maji, madawati, madarasa na barabara kila kijiji kabla ya 2025?

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji kabla ya 2025? Naungana na wewe 100% kuwa hakuna mfadhili atakuja kutujengea nchi yetu, hivyo ni...
  12. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Sijui hata niseme vipi?!. Kwa lugha nyepesi tu naweza kusema wenzetu WAZUNGU wameumbwa tofauti kabisa na sisi (ngozi nyeusi) WAAFRIKA. Sitaki kutumia maneno yanayoweza kufanya nikufuru, lakini ninachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu aliwaumba wazungu kwa namna ya pekee sana. Kusema hivi...
  13. RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  14. I

    Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  15. INAUZWA Excavator inauzwa

    CAT 318 B EXCAVATOR 3556 MASAA 2001 YOM TABATA DAR ES SALAAM +255714908121 100 millions TSH
  16. A

    RC Makalla, nunueni magari ya kufagia barabara; himizeni mama lishe kutumiia maji tiririka

    Hivi sasa barabara zetu za Dar es Salaam zina lami pamoja na Mifereji. Lakini naona michanga barabara ni mingi na wafagizi wengi wanamwagia huo mchanga kwenye hiyo mifereji. Hivyo ni vizuri mkanunua magari ya kufagia barabara na pili hiyo mitaro isafishwe. Maana la stand ya Mbezi na machinga...
  17. Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

    Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia amesema “Tumeongeza fedha kidogo kwenye mafuta, mtakuwa mmesikia kelele za mafuta. Tumeongeza shilingi...
  18. L

    Mgao wa milioni 500 kila jimbo kwa ajili ya barabara za jimboni

    Zanzibar(Unguja&Pemba) 1. Eneo 2654 km2 2. Idadi ya wabunge 50 3. Kiasi cha fedha milioni 500*50 Sawa na bilioni 25. Mkoa wa Pwani 1. Eneo 32407 km2 2. Idadi ya wabunge 09 3. Kiasi cha fedha milioni 500*9 Sawa na bilioni 4.5 Hoja yangu: Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia...
  19. Upanuzi wa Barabara ya Morocco - Mwenge umelenga nini?

    Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge na kwenda kujazana Morocco...
  20. D

    Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…