barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. milele amina

    Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  2. K

    KERO Mwanza: Hali ya Barabara Mtaa wa Chenga ni mbaya, Wananchi wakitaka kuiboresha wanazuiwa

    Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao tunaitumia. Barabara hiyo ni muhimu na inatumiwa na Wanafunzi kwa asilimia kubwa kwa kuwa ipo karibu...
  3. Just Pray

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya aagiza kukamatwa kwa mkandarasi endapo atashindwa kusambaza kifusi katika barabara ya Mtaa wa Uzunguni A

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu. Homera...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    KERO Kuna kipande kikubwa cha barabara eneo la Nzega kina mashimo makubwa na hatari kwa usalama wa watumiaji wa Barabara Kuu ya Shinyanga - Singida

    Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami. Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali. Nimepita usiku huu...
  5. A

    KERO Barabara ya Mtengu (kupitia Kilongoni Sheli ya TSN kuelekea Njia Nne kabla ya Daraja la Mtikatika) haijarekebishwa

    Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena vya mvua vinaanza sijui hali itakuwaje! Tunaomba Serikali itusaidie kutatua changamoto hiyo...
  6. Roving Journalist

    Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  7. Toga

    KERO Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndigo hii barabara ya Igawa - Rujewa hauioni ilivyo mbovu?

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Mianzini - Ngaramtoni KM 18 Kukamilika Septemba 2025

    BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI KM 18 KUKAMILIKA SEPTEMBA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Arusha Eng. Reginald Massawe kumsimamia kikamilifu mkandarasi Stecol Corporation anaejenga barabara ya Mianzini - Ngaramtoni Km 18...
  9. N

    KERO Hivi Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kivulini - Kimara ameitelekeza Barabara? Imeharibika zaidi ya ilivyokuwa awali

    Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani. Mkataba huo ulikuwa ni wa miezi sita kuanzia mwezi wa nane 2024, Agosti 2024 Mkandarasi alianza...
  10. Torra Siabba

    KERO TANROAD Tabora mko wapi? Barabara ya Shinyanga - Nzega changamoto

    Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile mvua zinanyesha kila wakati kila dereva anapita anakojua. Kama Barabara itaendelea kuwa vile kuna...
  11. A

    KERO Barabara ya Mjimwema (Kigamboni) kwenda Dege ina makorongo sana

    Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege. Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami huchimbwa na kuacha barabara ya vumbi kwa zaidi ya miezi sita kabla ya kurekebishwa. Hali hii...
  12. Stephano Mgendanyi

    Ulega Ataka Wazawa Wapewe Kipaumbele Ujenzi wa Barabara

    ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Ambananisha Mkandarasi Barabara ya Tungamaa - Mkange, Mkandarasi Aomba Radhi Ajipange Upya

    WAZIRI ULEGA AMBANANISHA MKANDARASI BARABARA YA TUNGAMAA - MKANGE, MKANDARASI AOMBA RADHI AJIPANGE UPYA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa...
  14. Roving Journalist

    Waziri Ulega ambana Mkandarasi Barabara ya Tungamaa - Mkange, Mkandarasi aomba radhi ajipange upya

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Corporation anayejenga barabara ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange Km 95.2...
  15. milele amina

    Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  16. Mwanongwa

    KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
  17. PureView zeiss

    Waziri wa ujenzi : upanuzi barabara ya rangi-tatu - mkuranga kuanza rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Waziri amesema upanuzi wa barabara hiyo umekubalika ili kuondoa msongamano mkubwa unaosababisha adha kwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Miundombinu ya Barabara na Madaraja: Wanasiasa na Hila za Kukarabati Kipindi cha Uchaguzi

    Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
  19. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  20. V

    KERO Changamoto ya Barabara ya Talian kuelekea miti mirefu,Chanika Buyuni ni hatarishi

    Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea. Tunaomba TARURA, waje waiangalie na...
Back
Top Bottom