barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali.
  2. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  3. A

    KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  4. A

    KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

    Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka. Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
  5. A

    KERO Vifusi vimemwaga Barabara Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 kisha vimetelekezwa

    Hapa ni Tegeta kwa Ndevu, hii ni barabara ya kuelekea Chuo cha Mzumbe, sasa hii barabara ilianza kufanyiwa marekebisho tangu Mwaka jana (2025) Mwezi wa Tisa lakini ilipofika Disemba kuelekea Januari 2026 wakamwaga vifusi na tangu hapo hakuna kinachoendelea hadi leo Machi 2026.
  6. Sex body

    Piki piki ipi ni imara kwa Barabara zetu za kibongo bongo

    Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250 Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na...
  7. 888I

    KERO Hali ya Miundombinu Barabara za Simanjiro

    1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya TANROADS, inapita Simanjiro kuelekea wilayani Kiteto. Kwa sasa, mvua zinazoendelea kunyesha zimeleta...
  8. A

    DOKEZO Kuna ufisadi wa kutisha MAMCU LTD

    Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu). Kulipana Posho na Safari za nje Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
  9. A

    KERO Dar: Barabara ya Bonde la Mchicha ina mashimo makubwa kupitiliza; ni kero kwa wananchi

    Barabara ya Bonde la Mchicha ambayo inatumiwa mara nyingi na Wakazi wa Tabata Kimanga, Mawenzi, Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa hata Ukonga na Gongo la Mboto ni mbaya na imekuwa kero kubwa kwa Watumiaji. Hii barabara ni kero kubwa kuwe na mvua au kusiwe na mvua. Kipindi cha mvua hata wapita kwa...
  10. A

    KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

    Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club. Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
  11. JanguKamaJangu

    Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  12. Roving Journalist

    Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  13. A

    KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  14. figganigga

    Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma

    Mvua imeleta balaa. Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma. Laleni tu ndugu zangu... Samia Hai au Hoi?
  15. A

    KERO Hali ya Barabara eneo la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji iboreshwe, mashimo yanakera

    Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini. Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii. Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
  16. R

    KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  17. danhoport

    Goodride: Je, ni tairi bora kwa barabara zetu au tunadanganywa na bei yake nafuu?

    Wakuu, habari za majukumu. Leo nataka tuguse mada ambayo kila mwenye gari itamfika tu—muda wa kubadili tairi. Kuna hii brand ya Goodride imetawala sana soko letu. Kila duka unalopita utaikuta, na bei yake ukiilinganisha na majina makubwa kama Michelin au Dunlop, utaona kuna utofauti mkubwa sana...
  18. Lycaon pictus

    Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  19. A

    KERO Barabara ya Waterfall - Arusha imejaa mashimo, Greda zipo Ofisi za Arusha DC zimepaki tangu 2025 mpaka matairi yameisha upepo

    Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara. Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
  20. DodomaTZ

    Hali ya Barabara Didia – Solwa eneo la Ndagwa, Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola inaumiza Wananchi

    Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Back
Top Bottom