bara

The Bära is a river in Baden-Württemberg, Germany. The Bära is a tributary of the Danube, and originates at the confluence of the Obere Bära (Upper Bära) and the Untere Bära (Lower Bära). The 12.7 kilometres (7.9 mi) Bära, together with the Lower Bära, which is longer and has a larger drainage basin, has a combined length of 26.5 kilometres (16.5 mi).

Obere and Untere Bära join to form the Bära in the Galgenwiesen ("gallows meadow"), about four kilometers above the resort of Bärenthal. This runs moderately without significant inflow a further 12.7 kilometres (7.9 mi) south-southeast in Talschlingen, draining an additional area of 31.2 square kilometres (12.0 sq mi). Passing through Bärenthal at last it flows into Fridingen and there, near the town mill, it flows last of all in a southwesterly direction into the upper Danube, approximately at the entrance to the Fridingen Danube Bend.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

    Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye...
  2. Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  3. Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  4. GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  5. Mpasuko Mkubwa Zanzibar na Bara Mkutano wa 12 wa Waendesha Ofisi

    Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda...
  6. Kwanini Zanzibari hakuna utekaji kama Bara ?

    Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara? Na log out
  7. Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  8. Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  9. Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  10. Hii ni coincidence ama mpango nchi zote za Africa zilizopo karibu na bara la Europe ni za Waarabu.

    Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi? Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu? Niamini Mimi Kuna namna watu hawakutaka watu weusi wawe na direct access kwenye nchi za Europe.
  11. Bara lipi linaongoza kwa kuwa na madikteta wengi kwa sasa?

    Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika. Hali ikoje kwa sasa? ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.
  12. Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

    Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka. Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar...
  13. Utafiti mdogo ungezeko la makaka poa Dar ambao wengi wanatokea mikoa ya bara

    Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati. Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
  14. Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika. Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
  15. M

    Naibu katibu mkuu bara chadema ninawasiwasi nae

    Harakati zote hizo yeye hata hajaguswa na vyombo vya dola. Mpinzani kweli huyu? Haendi KISUTU huyu? Waliobaki wote naona wanampigania lissu badala yeye
  16. PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  17. H

    Bara la Afrika linahitaji sheria,katiba na Dini zao kulingana na ASILI ZAO

    Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni? Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
  18. Bara la ulaya ni kama vile linasinzia kama sio kulala

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ulaya ya karne ya 19 kurudi nyuma sio kama Ulaya ya karne hii ya 21 yaani ni kama vile wameridhika na maendeleo yao. Hata katika upande wa sayansi na teknolojia bara hilo lipo nyuma katika gunduzi za sayansi na teknolojia. Ukizingatia ya...
  19. R

    Kwenu watanzania bara mlioomba TRA mjipange kisaikolojia ! Waombaji 135,027 nafasi 1,596 ukitoa nafasi 20 % za wazanzibari, mchuano ni mkali sana !!

    Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa...
  20. L

    Vijana wa Afrika ni nguvu kuu katika maendeleo ya bara hilo

    Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara hilo ni makazi ya idadi kubwa ya vijana duniani, likiwa na zaidi ya watu milioni 400 wenye umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…