Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu...