bao

Baozi (Chinese: 包子), or bao, is a type of yeast-leavened filled bun in various Chinese cuisines. There are many variations in fillings (meat or vegetarian) and preparations, though the buns are most often steamed. They are a variation of mantou from Northern China.
Two types are found in most parts of China and Indonesia: Dàbāo (大包, "big bun"), measuring about 10 centimetres (3.9 in) across, served individually, and usually purchased for take-away. The other type, Xiǎobāo (小包, "small bun"), measure approximately 5 centimetres (2.0 in) wide, and are most commonly eaten in restaurants, but may also be purchased for take-away. Each order consists of a steamer containing between three and ten pieces. A small ceramic dish for dipping the baozi is provided for vinegar or soy sauce, both of which are available in bottles at the table, along with various types of chili and garlic pastes, oils or infusions, fresh coriander and leeks, sesame oil, and other flavorings. They are popular throughout China and have made their way into the cuisines of many other countries through the Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise... Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali... Zaidi sana, tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC yachezea koki, yapigwa bao 4-1

    FT Wydad 4-1 Azam
  4. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, January na Nape ndio Tume ya Uchaguzi?

    Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi, Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho, Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufika mshindo

    Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa... halafu dushe linawyeaaa hapo ndio basi mpaka kesho tena...
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

    Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii. Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
  8. kiwatengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  9. Mshenyentaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na...
  10. Gordian Anduru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

    Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
  11. Ndombe Mubele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shangilia Yamponza Mwanasoka wa DR Congo, yawezekana akafukuzwa Rwanda

    Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka kidole kichwani kama Bastola Hivi Hapo Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Rwanda Kati ya Rayon Sport...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa stars tunafungwa bao 3 nk..nikopale kwa mangi

    Taarifa za hivi punde timu ya taifa ya Tanzani aningia dimban kucheza afcon Kama mzalendo tunawatakia kila la kheri ingawa mpaka sada hali sinnzuri kitabu kinasoma tunafungwa 2-0/2-1/3-1 Wish u all again alldbest
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

    Kwa sasa hiyo ndo hali halisi yetu. Tuufungue mwaka huu mpya kwa kuambiana ukweli huu mchungu ili kama lipo la kufanya basi tufanye....hali ngumu.
  14. kiwatengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  15. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

    Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants. Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo. "Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
  19. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

    Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake. Najua tupo wengi humu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
Back
Top Bottom