Naam ni miongo kama minne unusu ishapita katika mkoa wa Iringa.
Nyakati hizo mabasi yalikuwa yanasafiri usiku,
Safari yangu ilianzia Kiborlony kuelekea Railway Station.
Treni iliondoka jioni tartiibu tuna ambaa ambaa kuuacha mkoa wa Kilimanjaro,
Nilikuwa daraja la pili la kukaa..."Second...