bandari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza. Ili kuwachanganya...
  2. JamiiForums Tanzania Madini tuliuza, Gesi tukauza, Mbuga tukauza na sasa bandari tumeuza. CCM ni laana

    Katika kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya Watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni. Madini yaliuzwa kwa Mzungu, Mbuga zikauzwa kwa Muarabu, Gesi ikauzwa kwa Mchina na sasa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

    Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba. Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika suala DP World na Bandari zetu

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu. Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ya bandari yakiendelea, TRA wamepoa, wafanyabiashara sasa tunanyanyaswa na zima moto

    Huo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara. Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mimi sina tatizo na DPW kupewa bandari

    Mimi na pia naamin watanzania wengi tunahoji aiaana ya mkataba Wapeqw bandar but mkataba uwe unaoeleweka sio mkataba wa milele Mara hauruhusiwi kujitoa hata akizingua Mara bandari zote wachukue wao Shida iko kwenye aina ya mkataba na sio waarabu Mbona tics ilikuwa ovyo ila aamkataba wake...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

    Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini. Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake, lakini la ajabu, matusi kwa mama ndio ilikuwa pumulio la Watanganyika dhidi ya mkataba. Haikutukanwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umeanguka ewe Bandari salama, u wapi uzuri wako?

    Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho, "USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN." Kwa kimombo, DO NOT LEAD US INTO TEMPTATION, BUT RESQUE US FROM EVIL ONE, AMEN. Rabbi Yeshua amachiah alitufundisha...
  10. JamiiForums Tanzania Mwamposa apelekewa sadaka na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hapo vip! Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa. Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki. Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo...
  11. JamiiForums Tanzania Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

    Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe. Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa Kawaida: Wapuuzeni Wanaopotosha Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa mikataba Prof. Kabudi yuko wapi mjadala wa mkataba wa kuuza bandari?

    Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba. Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

    Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu." "....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Mkataba wa Bandari ni madudu, Chukua Chako Mapema?

  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni Azimio la Bandari likipitishwa?

    MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo. Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…