bandari

  1. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

    SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World). Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

    Wadau wote na waungwana! Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini. Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la bandari lina harufu ya chuki

    Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma. Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za: 1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari. 2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

    Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo. Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia...
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kupambanua ni ushahidi tosha kuwa Mkataba wa Bandari una walakini

    Kila uchao, viongozi wanapishana hadi kugongana kwenye kuwahi 'kuuchambua' na 'kuupambanua' mkataba wa ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Emirati kupitia DP World. Mkataba ulishasainiwa na kuidhinishwa na Bunge. Umebaki utekelezaji tu. Lakini, kelele za wananchi juu ya mkataba huo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuendesha nchi tukashindwa kuendesha bandari?

    Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari? Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri bungeni kwamba yeye na watendaji wameshindwa kuendesha bandari na bado anaendelea kubaki ofisini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosema bandari imeuzwa tunaomba mtueleweshe imeuzwaje, na kwa kiasi gani

    Huu mjadala wa kwamba bandari ya Dar imeuzwa na nyingine zote zimeuzwa unakolezwa sana. Tuondoe u-CCM na u-CHADEMA naomba kueleweshwa kua bandari imeuzwaje, kwanini nataka kueleweshwa. Kabla ya bunge kupitisha na kuridhia mkataba wa serikali kuingia ubia na Dubai maneno yalikua mengi kua...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

    Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai. Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

    Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo. Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha Leo nimeona ameongea kwa hisia sana. --- "Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa bandari, ajira zenu hazipo guaranteed kihivyo, tegemee reshufle kubwa na mnaweza kuwa maskini kama mlizoea kuishi kwa madili

    DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio. Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bandari, tatizo ni wakuu wa mashirika au tatizo ni mkuu wa nchi?

    Salute, mie ninajiuliza, ni kweli watanzania hatuwezi kuendesha mashirika yetu ya umma? Kama tunakiri wazi hatuwezi kuendesha bandari, je tunawezaje kuendesha nchi? Najiuliza kwanini kwa Hayati Magufuli mashirika ya umma mpaka yalikuwa yanatoa mpaka gawio? Kwa mfano TTCL, leo imetangazwa...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Je, ni serikali ilimtafuta mwekezaji au mwekezaji aliitafuta serikali ya Tanzania?

    Habari, Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ameonekana akiongea bungeni na kumbi zingine nje ya Bunge akiwataka Watanzania wafungue moyo kupokea neema kutoka kwa Mwekezaji sijui anaitwa D World. Swali la wananchi kwa serikali liko hivi: Je, ni serikali ilimtafuta Mwekezaji au mwekezaji...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: DP World wangeanzia bandari zilizokufa na mahututi na mafanikio yao ndio yawe kigezo cha kuchukua zenye haueni

    Kwa mtazamo wangu ghafi, Hawa mabwana wangepewa bandari zilizopooza na kufakufa wazifufue zishindane na bandari yetu mama ya DSM. Sisi tungewawekea tu miundombinu kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao vzr. Wakifikia malengo basi tunawapa na hizi tunazozitegemea kama uti wa mgongo wa uchumi wetu...
  19. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Propaganda na upotoshaji wa kauli ya Freeman Mbowe uliofanywa na Nape Nnauye bungeni wachambuliwa

    Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano. Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…