bandari

  1. JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kughushi nyaraka Bandari ya Dar kusomewa maelezo leo Januari 13, 2026

    Jamhuri imepanga leo Jumanne, Januari 13, 2026 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo, wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es Salaam na kujipatia zaidi ya Tsh 10 bilioni zilizotokana na shehena ya mafuta. Hatua hiyo inatokana na...
  2. JamiiForums Tanzania LIVE: David Kafulila anaongea na wadau wa Usafiri na Usafirishaji wa Bandari

    https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Bandari tunajihujumu Sisi Wenyewe

    Katika siku za karibuni, taarifa zimeibuka kuwa Bandari ya Mombasa, Kenya, imeanza kupokea meli za mizigo ambazo hapo awali zilikuwa zikitia nanga Bandari ya Dar es Salaam. Kwa lugha nyepesi kabisa, mizigo imehama, yaani wateja wamehama. Lakini kwa lugha ya siasa nyepesi zaidi, lawama...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  6. JamiiForums Tanzania Tuokoeni wafanyabiashara Bandari operations-internet blackout

    Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term. Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi. Chochote kitakachotokea huko mbeleni Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
  7. JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  9. JamiiForums Tanzania Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  10. JamiiForums Tanzania Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

    Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia awashona Midomo waliosema ameuza Bandari. Uwekezaji wake wazaa Matunda kwa kupokea Meli yenye uwezo wa kubeba Magari Elfu 9 kwa mpigo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele. Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...
  12. JamiiForums Tanzania Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  13. JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

    Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi zote (Full house) Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hii nafasi wanayoshika Bandari, leo tuwatandike hasa wakasimulie

    Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.
  15. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  17. JamiiForums Tanzania Bandari yahudumia tani milioni 32 kutoka tani milioni 18

    BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18 Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021. Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025 wakati wa kikao cha wadau wa Kamati ya Maboresho ya Bandari, kilichoendeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga bandari Kizimkazi hadi Kunduchi huko Zanzibar

    Habari ndiyo hiyo. Ile akili iliyotaka kujenga bandari Bagamoyo imetuma tena ujenzi bandari Kizimkazi. Lengo na nia ni kujiimarisha kiuchumi kwa watawala. Watoto wa Nyerere na Magufuli nadhani wanawalaumu sana wazazi wao. === Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kukamilisha taratibu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bandari kavu ya Kwala

    Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kufungua Bandari kavu ya Kwala. Kwenye taarifa ya Mhe. Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais alitamka yafuatayo:- (1) Bandari kavu itahudumia makasha takriban laki tatu kwa mwaka. (2) Huduma ya Bandari kavu ya Kwala ni asilimia 30 tu ya makasha yote yatakayoingia nchini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…