bandari ya bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. petro matei

    Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  2. TODAYS

    Angalia Tanganyika tunavyopigwa na Nchi ya Zanzibar

    Wote mnaoguswa na vita vinavyoua raia wasiyo na hatua kisa viongozi wakuu wa kimamlaka, naandika hivi poleni sana Ubalozi wa Iran hapa kuna kitabu cha maombolezo mje. MADA: Mliofika kule nchini Zanzibari mtakuwa si watu wa kushangaa kwa hili ninaloandika. Rais, Daktari Hussein Ali Mwinyi...
  3. gallow bird

    Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  4. W

    GE2025 Samia: Mkinichagua nitamalizia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  5. tonicimmobility

    TBT: Rais Magufuli akikosoa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    TBT: Mkutano wa rais Magufuli na wafanya biashara uliofanyika ikulu tarehe 07 june, 2019 akielezea kwanini amezuia kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo Soma pia: Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji...
  6. Y

    Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  7. Waufukweni

    Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  8. sinza pazuri

    Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  9. ChoiceVariable

    Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
  10. K

    Miaka 3 na miezi 4 imeisha hakuna Bandari ya Bagamoyo wala LNG. Je, ni sawa kusema Hayati Magufuli alikuwa anakwamisha?

    Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani. LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala...
  11. W

    Uwekezaji Bandari ya Bagamoyo wapewe wazawa/Private sector

    Decemba mwaka 2015 nilikuwa miongoni mwa waandishi takribani saba kutoka vyombo mbalimbali nchini tulikwenda kutembelea baadhi ya sehemu za kibiashara katika Jimbo la Guangzhou Nchini China. Tulikwenda kwa hisani ya Ubalozi wa China nchini Tanzania. Ziara yetu ilituchukua siku kumi tukiwa...
  12. A

    Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

    Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya...
  13. The Sunk Cost Fallacy 2

    Serikali yatoa Bilioni 40 za kuanza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    Hatimaye maneno yawa kweli,ahadi yatimizwa ni ya ujenzi wa Bandari Mpya na kubwa ya Bagamoyo. Hongera sana awamu ya 6,maneno kidogo vitendo vingi. Halima Okash, Mkuu wa Wilaya Bagamoyo amesema "Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambao unatarajiwa kujengwa mpaka sasa tumeshapokea zaidi ya Bil. 40...
  14. K

    Ina maana DP World imeizika kabisa Bandari ya Bagamoyo?

    Miezi mitatu tu baada ya kufariki kwa Rais wa Awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya mama Samia, ilianza mazungumzo na wawekezaji kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Juni 26, 2021 wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza...
  15. B

    Bora Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kuliko Waarabu wa DP World

    Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu kuliko hawa jamaa wa DP World. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zilizonifanya nifikie maamuzi haya: 1...
  16. Zanzibar-ASP

    Nini hatma ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo (China project) ikiwa bandari zote kachukua Mwarabu wa Dubai?

    Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari. Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
  17. K

    Bandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa DP World akiwa kinara wa bandari zote za Tanganyika

    Ujuha wetu ni kuendelea kudanganywa kwamba ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo tutauanza hivi karibuni; kama tunavyozimwa akili na kutengwa kwa Bajeti ya kazi hiyo kulikowasilishwa na Waziri Mbarawa Bungeni. Hivi hawa watu hata kudanganya waziwazi hawana uwezo nako? Au sasa watageuza habari na...
  18. The Sunk Cost Fallacy 2

    Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

    Habari ndugu Wadau.. Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.. Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari...
  19. Mwande na Mndewa

    Je, Bandari ya Bagamoyo na uwanja wa ndege wa Msalato ni miradi isiyo na faida?

    Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini, tunahitaji uwanja wa kimataifa kwenye mji mkuu wa nchi ili kuweza kufanya...
  20. HIMARS

    Rais Samia apokelewa Kifalme China

    Haya mapokezi kutoka China si ya kawaida. Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China. Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote; huku Waarabu, huku Marekani, huku China. Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
Back
Top Bottom