balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Balozi Matinyi awasili Uswidi

    Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (kulia katikati) akizungumza na maafisa itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi pamoja na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini humo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa jijini Stockholm, Ijumaa tarehe 2 Mei, 2025.
  2. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  3. Genius Man

    Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
  4. Ojuolegbha

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  5. Webabu

    Afadhali kwamba ubalozi wa Marekani nchini Tanzania si miongoni mwa balozi 30 za nchi zinazotazamiwa kufungwa karibuni

    Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani. Balozi hizo nyingi zipo barani Ulaya na Afrika.Baadhi ya balozi hizo za Ulaya ni pamoja na Ufaransa na Ujerumani miongoni...
  6. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  7. Ojuolegbha

    Balozi Matinyi na balozi Hamadi wafika ofisi ya makamu wa Rais

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha (Diaspora) ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kupitia uwekezaji mbalimbali. Makamu wa Rais...
  8. mdukuzi

    Babu Sikare(Albino Fulani)Mtanzania wa kwanza kumkunja shati afisa balozi wa USA aliyetaka kumnyima Viza

    Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki. Vabu Sikare alizaliwa albino na wala hakuogopa kujitambulisha kuwa ni albino,tofauti na yule msemaji wa klabu...
  9. Wakusoma 12

    Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito. 1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea nakala ya Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uturuki nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
  11. Ojuolegbha

    PreGE2025 Balozi Nchimbi achangisha sh. 950 milioni kwa matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi...
  12. Bams

    Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

    Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani. Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba...
  13. Ojuolegbha

    Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

    Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika. Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo...
  14. Ojuolegbha

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  15. Ojuolegbha

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi ashiriki mazishi ya Dkt. Sam Nujoma

    Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo, Dkt. Sam Shafiishuna...
  16. Camilo Cienfuegos

    Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa?

    Wakuu salama… Jioni hii umetoka uteuzi wa Balozi Suzana Kaganda kupangiwa nchi ya Zimbabwe kama Balozi wetu huko. Kabla ya uteuzi huo, Balozi wetu alikuwa Simon Nyakoro Sirro. Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa au nae ameomba kupumzika?
  17. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  18. N

    Marioo balozi mpya Bahati Nasibu ya Taifa

    Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
  19. Chifu mkuu

    Wasira azungumza na balozi wa Korea

    WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
Back
Top Bottom