WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini.
Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika tarehe 15 Novemba,2024 katika...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika...
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Ufaransa na Uswis hapa nchini.
Waziri wa Mambo ya Nje ma Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameagana na aliyekuwa Balozi wa Ufaransa Mhe. Nabil Hajlaoui na Balozi wa Uswisi Mhe. Didier Chassot ambao wamemaliza muda wao wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kuhusu kuteuliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC -Organ...
Waziri Kombo asisitiza ushirikiano katika kutekeleza mikakati ya kikanda – SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameahidi kushirikiana na Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika kukuza uchumi wa...
Taarifa kwa Umma kuhusu uapisho wa Mbunge Mteule Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb).
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), atamuapisha Mbunge Mteule Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kesho tarehe 25 Julai, 2024. Tukio hilo litafanyika saa 9:00 alasiri katika Ofisi Ndogo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.