Tena wa kiunoni!Huyo ni chawa
anapiga left and right zaidi ya Ronaldo ee?🐒Nashindwa kuandika zaidi, lkn kama mwenyekiti ndio hivi, wafuasi watakuwa vipi?
Yule ni mpumbavu aliyepumbavuka kwa visenti vya rushwaanapiga left and right zaidi ya Ronaldo ee?🐒
kivipi tena gentleman,Yule ni mpumbavu aliyepumbavuka kwa visenti vya rushwa

Sawa.Unapoona mtu mkubwa anakuwa na undumila kuwili wa wazi huoy siyo wa kukaa naye meza moja.kivipi tena gentleman,
na mwamba anapasua mbarika kwa uwazi na bila chenga namna hiyo?
au ndio ile,
ukweli mchungu, ukweli unauma?![]()
Gentleman,Sawa.Unapoona mtu mkubwa anakuwa na undumila kuwili wa wazi huoy siyo wa kukaa naye meza moja.

Mimi nimemfuatilia Balile tangu 2014 hadi sasa hoja zake hazina mashiko kama alivyokuwa Musiba na Polepole kipindi cha utawala wa Magufuri.Unajua ukipenda kuishi kwa maslahi maslahi huwezi fanya mambo ya maana kwenye jamii yoyote ile,isipokuwa utakuwa kirusi kwa wenzio.Gentleman,
kwani ukipotoshwa na kuamini upotoshaji huo,
na kisha hatimae ukabaini ukweli halisi
ni makosa,
kuukana upotoshaji na kuamini au kueleza ukweli?
manafiki pekee ndio anaweza kuishi upotoshaji![]()
inawezekana kabisa ni kweli hazina mashiko kwako,Mimi nimemfuatilia Balile tangu 2014 hadi sasa hoja zake hazina mashiko kama alivyokuwa Musiba na Polepole kipindi cha utawala wa Magufuri.Unajua ukipenda kuishi kwa maslahi maslahi huwezi fanya mambo ya maana kwenye jamii yoyote ile,isipokuwa utakuwa kirusi kwa wenzio.

Aiseee!! Na kina makaka kama Jenerali Ulimwengu, kaka Pascal Mayalla wanamuachia huyu NDOROBO akimwaga pumba zake?!Nashindwa kuandika zaidi, lkn kama mwenyekiti ndio hivi, wafuasi watakuwa vipi?
LABDA KWA CCM.inawezekana kabisa ni kweli hazina mashiko kwako,
kulingana na status ya mahusiano yako na yake tangu 2014,
but,
hoja zake za ukweli zikawa na maana sana kulingana na sheria, taratibu, kanuni na weledi wa uana habari mwenye taaluma na ithibati, lakini pia zikawa na maslahi mapana kwa taifa.![]()
Hili swali lako mfikishie Mzee Pascal Mayalla. Atakujibu kwa ufasaha(akiwa ameshiba lakini)! Siyo uende ukamuulize wakati ana njaa.Nashindwa kuandika zaidi, lkn kama mwenyekiti ndio hivi, wafuasi watakuwa vipi?