bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mohamedi Saidi azungumzia mchakato wa kuivunja E.A Muslim Society na kuanzisha BAKWATA ya CCM

    https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha BAKWATA chini ya Mwl Nyerere. Amesema ndicho chanzo cha chuki ya Nyerere dhidi ya Bibi Titi. Ameenda...
  2. JamiiForums Tanzania Chokochoko zilianza halmashauri kuu ya TANU 1963

    https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
  3. JamiiForums Tanzania Kwa suala hili BAKWATA hamjatenda haki

    Utangulizi: Uislamu unasema hivi "ukiona uovu basi kwanza uondoe kwa mikono yako,ukishindwa kwa kauli na ukishindwa kabisa basi kwa kuchukia moyoni mwako,na huu ndio udhaifu wa imani" kwa maana yule anayechukia jambo moyoni mwake ni mdhaifu wa imani,kwasababu option ya kwanza na ya pili ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Mnajua Mahakama Rasimi imeitambua BAKWATA kama kikundi Cha Wahuni tu, ambacho hakiwakilishi Waislam?

    Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?. Miaka yote , CCM na magengen Yao...
  5. S

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yafafanua kesi dhidi yake, yadai kuna Upotoshaji

    Mwanasheria Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Hassan Athuman, amesema kuna upotoshaji mkubwa unaoendelea kuhusu tafsiri ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania iliyotolewa Desemba 24, 2025, akisisitiza kuwa mahakama haikuitupilia mbali BAKWATA wala kuikuta imekiuka Katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Sheikh: BAKWATA sio ya Waislamu wote ni ya Wasunni tu

    Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

    Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia...
  8. JamiiForums Tanzania BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  10. JamiiForums Tanzania Tutarajie Masheikh katika kiwango Chao Cha juu Cha Ujinga kuanza kumshambulia The Genius Mjumbe Wa Mungu Padre Kitima

    Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya. Muendelee KUTEKA. Muendelee Kuua . Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima. Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo. Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!. Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
  11. JamiiForums Tanzania BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  12. JamiiForums Tanzania BAKWATA na wahadhiri wake wamewahi kufanya nini kuchangia kupata Tanzania bora iliyo jumuishi kwa watu wote?

    Hawapingi kuna utekaji, watu kupotezwa na kuuwawa kiholela, wanachodai eti mbona hayo mambo mbona yapo tu tangu zamani! Hivi kweli hii ni hoja ya msingi?! Hawapingi haki za kidemokrasia zimepokonywa kabisa kwa wapinzani, wanachosema eti mbona tangu zamani watu wamekuwa wakinyimwa haki zao...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA: Project ya mamlaka inayotumika vibaya?

    Tofauti na TEC na CCT ambao wote kwa nyakati zote wanapokuwa na jambo la jumuiya huzungumzia 'WANANCHI' Tafsiri ya watu wote Wa imani zote Wa Kaliba zote Wa mutazamo yote Wa jinsia zote nk Kwa upande wa BAKWATA hali ni tofauti kabisa! Mara nyingi kama sio zote hupenda sana kufanya mgawanyo...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya taasisi za Kiislamu yawataka Waislamu kujitenga na maandamano ya Disemba 9, 2025. Vijana waaswa kukaa nyumbani na wazazi wao

    Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zilizo chini ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) zimewataka vijana na wananchi kwa ujumla kutumia busara, utulivu na kufuata utaratibu wa kisheria wanapodai haki zao, huku zikisisitiza umuhimu wa kuepuka mikusanyiko isiyo rasmi hususan tarehe 9...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  16. JamiiForums Tanzania BAKWATA, Mashekh tunataka tujue nyie ni Wizara gani pale Serikalini? Maana TEC ujembe wao haukua wa dini bali kwa Jamii na Serikali

    Ujumbe wa TEC ulilenga kilichopelekea vifo vya watu watoto wadogo waliokua wanadai haki zao kikatiba ujumbe wa TEC haukulenga dini yoyote wala kabila lolote bali ni ujumbe kwa jamii na Serikali kilichotokoea October 29...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa BAKWATA si Baraza la Waislam bali taulo la kufutia damu za watanzania

    Japo wamejitahidi kujitoa ufahamu, Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) ni chawa aliyejigeuza au kugeuzwa taulo la kufutia damu za watanzania. Ni aibu na udhalili sina mfano. BAKWATA unaweza kuiita Baraza la Kuu Watawala Taahira kufutia damu za watanganyika. Naamini Samia angekuwa si...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Tanzania hakuna wanasiasa, tuna wanaotukana matusi. TEC mko wapi wakati wanasiasa wanaongea lugha za matusi?

    Wakuu, Mbona kama hili suala limechukuliwa serious sana na? Sasa TEC wanahusikaje na hoja za wanasiasa? Kosa la TEC ni kukemea mauaji? "Haya yametokea kwa sababu hatuna wanasiasa sasa hivi tuna mitusi tu. Sasa hivi hatuna wanasiasa tuna watu wa kuwatia hasira wananchi badala ya kutoa sera...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Maalim KONDO BUNGO Aelezea unafiki wa BAKWATA

    BAKWATA KIDONDA KIPO MGUUNI DAWA MNAWEKA MACHONI ! Na Maalim KONDO BUNGO Nikweli tunafahamu kwamba Bakwata haijawahi kupingana au kutofautiana na Ccm na Serikali yake hata mara moja hata pale Serikali inapofanya matukio yanayo onesha kuwadhuru waisilam. Tumeona mwaka 1993 waisilam (...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA mkoa wa Morogoro yaunga mkono kufanyika kwa uchunguzi vifo vya Oktoba 29

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. . Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…