Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono
Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono?
Soma pia: Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii
Nijuavyo mimi Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi mfano kisukuma, kichaga, kihaya (kibantu) kiingereza, kijerumani, kiarabu n.k huu mchanganyiko ukaunda lugha moja ambayo ni kiswahili.
Huu mchanganyiko ulitokana na muingiliano wa watu wa jamii mbali mbali hapo zamani wakifanya biashara...
Mimi, mmoja wa watumiaji na mdau mkubwa wa lugha ya Kiswahili na mpenda maendeleo ya lugha hii adhimu, ninaandika malalamiko haya kwa masikitiko makubwa juu kukosekana kwa kamusi mtandao ya taasisi kubwa na yenye mamlaka kama BAKITA katika zama hizi za ukuaji wa kasi wa teknolojia. Awali...
Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha.
Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa kamusi, nichukue ipi kati ya TUKI na BAKITA na kwa mwenye uzoefu, uniambie ni yupi mwenye chapisho jipya...
Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni.
Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
Kadiri ya imani ya kanisa katoliki, Mtakatifu Josephine Bakita ni mmoja wa watakatifu maarufu katika Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Sudani Kusini. Alizaliwa mwaka 1869 na aliishi maisha ya kutisha ya utumwa baada ya kutekwa nyara akiwa na umri wa miaka saba. Aliuzwa mara kadhaa, lakini hatimaye...
Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila naamini kwa kizazi kilichopo sasa hivi mambo ndio yanaenda kwa kasi Sana.Hivyo basi imekuwa ni ngumu...
Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa vijana/watoto wanapoandika jambo au kuongea na wakafanya hivyo kwa usahihi ndio unashangaa. Sio unashangaa...
What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?
Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili.
Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi vigezo apate ithibati ya Baraza. Walau kwa vile vituo vya rediuo vyenye Wasikilizaji wengi.
Kazi yake...
Nimeshangaa kusikia eti wanaojiita wataalam wa Kiswahili wakisema kwamba Tafsiri ya neno ‘Decoder’ ni ‘Kisimbuzi’, huo ni uongo wa wazi kabisa.
‘King’amuzi’ ni neno lililonyumbuliwa kutoka kwenye neno ‘ng’amua’ , kung’amua maana yake ni ‘Ku-decode’ , na hivyo kitu kinachofanya hiyo kazi ya...
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
KESHO ISIYOFIKA
“Unasikia midundo iyoo Chris!!? Yule Shayo mgombea wa PMP amekuja bwana!” Madokola, alimshtua Chris kwa kelele maana kwake yeye alidhani Chris alikwishazama katika ndoto na usingizi mzito.
“Naamka aisee!” alijibu Chris kwa sauti ya chini “Kwani watu wamekwisha jaajaa uwanjani?”...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet
Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
POST
MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST
EMPLOYER
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
APPLICATION TIMELINE:
2022-06-14 2022-06-27
JOB SUMMARY
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali;
ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.