bakita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Msanifu Lugha Daraja II (Nafasi 1) BAKITA

    POST MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali; ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania BAKITA ivunjwe iundwe taasisi nyingine ya kushughulikia lugha na utamaduni wa Kiswahili

    BAKITA LIVUNJWE IUNDWE TAASISI NYINGINE YA KUSHUGHULIKIA LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI. Baraza la kiswahili Tanzania liliundwa kwa sheria ya bunge tangu mwaka 67 likiwa Na majukumu mbalimbali ya kushughulikia kiswahili. Baraza hili limepitia mafanikio kadha wakadha katika utekelezaji...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Baraza ka Kiswahili (BAKITA) badilisheni rangi zenu zinatuchanganya

    Huko twittani nimekuwa nakumbana na post mbalimbali za Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Inaonyesha wanaongeza kasi ya kuonekana katika mitandao. Nawapongeza kwa hilo. Tatizo moja ninaloliona ni kuwa kila mara nikiziona post zao, mara moja nadhania ni habari kutoka Mamlaka ya Mapato, TRA...
Back
Top Bottom