bakhresa

Said Salim Awadh Bakhresa (born 1949 in Zanzibar), is a Tanzanian business tycoon.
He is the founder and the chairperson of the Bakhresa Group Of Companies. He is a well-known industrialist in the mainland of Tanzania and the island of Zanzibar. With a humble beginning as a small restaurateur in the seventies, he created the business empire within a span of three decades. At the age of 14, he dropped out of school to become a potato mix salesperson and would later go on to become a successful African businessman. Bakhresa Group; is a conglomerate of various companies and is the largest milling company in East Africa with operations in Tanzania and five other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Serikali ya CCM ilishawahi kumfanyia figisu Said Salim Bakhresa sababu alidhamini CUF

    Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM. Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri. Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
  2. Scared

    Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  3. D

    je wanachama wa simba tunaluhusiwa kuuza hisa zetu?? kuna kama 800k kila kadi kwa dp world na bakhresa

    I will be short kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card. Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida. anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
  4. J

    Mo Dewji na Bakhresa acheni ubinafsi. Fanyeni kama Bill Gates

    Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe...
  5. ngara23

    Bakhresa tajiri asiyependa camera

    Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi...
  6. MNEKI

    Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

    Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi. Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae , ROHO YA UZINZI Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani, Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Biashara 2 zinazomletea hasara Bakhresa

    1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo. 2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii. My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya...
  8. kante mp2025

    Bakhresa Apewe Mradi wa Mabasi ya mwendokasi

    Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
  9. mdukuzi

    GSM aachane na Yanga itamfirisi,mtaji wake bado mdogo asishindane na Mo au Bakhresa

    Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona...
  10. K

    Tuwape PhD za heshima wazalendo kama Salim Bakhresa, sio wanasiasa wala rushwa

    Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa. Salim Bakhresa amejenga biashara na kutoa ajira kwa mazingira magumu sana. Hajawahi na wala hana sifa ya...
  11. snipa

    Ajira ya Elon Musk aliyopewa na Trump katika serikali yake je ni funzo katika nchi yetu kuwaajili akina Mo au Bakhresa ?

    Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ? Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
  12. Kazanazo

    Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

    Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna. Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla. Wakuu, kwa...
  13. Scared

    Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

    Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka...
  14. Waufukweni

    Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

    Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter), Zayed anaonesha jumba lake la kifahari na la kisasa, lenye upekee ambao unathibitisha uwezo wake wa...
  15. fimboyaukwaju

    Natamani bakhresa awekeze kwenye mwendo kadi dar

    Huyu tajiri akiwekeza kwenye mwendo kasi dar,tatizo la ukosefu wa mabasi litaisha
  16. snipa

    Kesi ya Google: Hatimaye waanza kurecommend browser nyingine mbali na chrome, Je Kuna haja Serikali yetu ikaondoa monopoly inayofanywa na Bakhresa ?

    Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search...
  17. Webabu

    Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

    Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika. Utajiri wa...
  18. comrade_kipepe

    Familia ya Bakhresa azam ina mamluki sana mtapigwa sana hata mumsajili nani

    Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu USHAURI WANGU: Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
  19. Magical power

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam cola 👉🏾 Azam Embe 👉🏾Azam Malta Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
  20. Erythrocyte

    Bakhresa, Mo Dewji na GSM wajitosa kuwekeza kwenye SGR

    Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
Back
Top Bottom