Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo.
Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
Wakuu,
Leo Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa hakuna Mtanzania atakayekufa kwa sababu baadhi ya nchi wahisani wamesitisha kuipa misaada Tanzania
"Tunao uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi tukazalisha dawa za Malaria, Kifua Kikuu. magonjwa mengineyo ndani ya nchi na jambo hili...
Wakuu,
Hivi hili suala limekaaje wakuu?
Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu
Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo.
Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
Wakati Bunge la 12 linaendelea na linaelekea mwishoni nina hoja moja ya msingi Kwa wabunge wote wa bunge hili hata wale wa bunge la 13 hasa wakati huu ambao kila nchi duniani inajifikiria yenyewe na watu wake tu, Kimsingi ubinafsi unazidi kumea sana duniani.
Waheshimiwa wabunge, nimeyasikia...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024.
Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9.
Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai, kuna watu wengi nyuma ya watoa huduma wanasubiri familia ziendeshe maisha.
Hivi nchi zote duniani...
Mwaka mpya wa kiserikali umeshaanza, nadhani hapo nyuma tulishapokea shadi mbalimbali kutokana na suala la ajira hususani hizi za ualimu na afya lakini naona bado ubao umenuna
Mbona hili suala la ajira limekuwa kizungumkuti tunasubiria mpaka kichwa kinauma, jamani hawa wenye mamlaka ebu...
Habarini,
Chanzo kikubwa cha umasikini na maisha magumu kwa Waafrika ni matumizi makubwa ya serikali kupitia viongozi kuishi maisha ya anasa na ufahari kwa kutanguliza maslahi yao binafsi.
Njia rahisi ni kupunguza matumizi hayo kwa nguvu kupitia njia mbadala ikiwemo kuandamana na kichoma...
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
Kama mnavyojua katika Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kuna kodi kadhaa zimependekezwa ikiwemo kodi ya kwenye Digital Assets. Bunge limeshatoa wito kwa wadau kupeleka mapendekezo yao kwenye marekebisho ya sheria ya fedha ambayo inaenda kuleta hiyo kodi ya Amali za Kidigitali...
NI LEO
Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango.
Hakikisha Hupitwi!
======
https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT
"Sote tunafahamu kwamba Juni 13 mwaka huu (2024)...
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa...
Mawakala hao wamekuwa wakikusanya kodi kutoka kwa Wananchi na wamekuwa wakiziwasilisha kusikotakiwa kwa mujibu wa sheria. Ni vyema ifahamike kuwa kodi. Ifahamike kuwa yoyote anayekusanya sio yeye anayewajibika kuilipa hiyo kodi hivyo anapotumia hivyo anapoitumia anaiibia serikali...
Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma.
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao.
Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.