bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Ninaitafuta bajaji ya mkataba

    Nahitaji bajaji ya mkataba Kama unayo au unaweza kuniunganisha na mwenye nayo. Mawasiliano: PM tuzungumze 0781694294
  3. JamiiForums Tanzania natafuta bajaji iliyo na good condition nipo dar.

    Wakuu mwenye anauza bajaji ani PM inbox, isiwe na kipengele, natoa box mbili tu kwa dalali..... Mimi napatikana mbezi makabe. Bei ni mazungumzo Hit my PM Kwa muuzaji aliye serious tu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  5. JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Bajaji moja ni 10M, unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Je, pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi inaweza rudisha pesa haraka?

    Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
  9. JamiiForums Tanzania Bajaji yawaka moto mawasiliano, makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge

    AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Bajaji Mwanza zinarahisisha sana usafiri

    Bajaji zitakusaidia kufika popote kwa haraka na gharama ndogo sana ukiwa Mwanza. Nawasilisha
  12. JamiiForums Tanzania TANROADS yatengeneza Daraja la Muda Kinyerezi, Pikipiki, Bajaji na Watembea kwa Miguu waruhusiwa kupita

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema njia ya muda (diversion) katika eneo la daraja la Kinyerezi sasa inaruhusu waenda kwa miguu, waendesha pikipiki na bajaji kupita, huku magari makubwa yakisubiri mpaka ujenzi ukamilike ndani ya siku mbili au...
  13. JamiiForums Tanzania Kiundwe kikosi maalumu cha Askari cha kuwashughulikia Bodaboda na Bajaji kwenye wanavunja sheria katika Majiji na Miji mikubwa!

    Kasi ya kuongezeka bajaji na bodaboda ni kubwa sana. Serikali kupitia jeshi lake la polisi walitakuwa kuona hii kitu tokea mapema sana. Sahivi ni kama vile wamekubali kushindwa. Hawa jamaa wanavunja sheria zote unazozijua za barabarani, wanahatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
  15. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji jijini Mwanza wanapaki hovyo sehemu ambazo si salama na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara

    Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaotumia bajaji route za barabara kuu kama Morogoro rd kwa wakazi wa Dar kuweni makini

    Wasalaam Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia Leo aliingia kwenye lane ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake. Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali. Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bajaji mkataba

    Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya bajaji mimi niko tayari. Nipo dar Hesabu wiki 100,000/= Mkataba wiki 140,000/= MAWASILIANO 0617562823
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…