Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.
Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika
1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni
2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu
3.Awe na leseni
4.Awe anafanya bolt
5.Awe mchapakazi na mwaminifu
Mawasiliano:0757208745/0617984818
Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani.
Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
Waziri wa Maendeleo Ya Vijana Joel Nanauka amesema vijana wa kitanzania wanaofanya shughulia za udereva wa Bodaboda na Bajaj zaidi ya 300 wamepata nafasi ya kazi nchini Dubai ambapo baadhi yao wameshaanza kwenda.
Lakini pia wapo vijana wengine wanaofanya kazi za ufundi wa nyumba, ufundi wa...
Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda...
Anonymous
Thread
bajaji
malalamiko
manispaa
manispaa ya songea
mjini
songea
songea mjini
uonevu
vijana
Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha.
3m+
5m+
8m+
10m+
15m+> Hapa Unapaa kabisa.
Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better!
Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu...
Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari .
Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii.
Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli?
Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
Hello Jf
Spare zote za Bajaji na pikipiki kama
↔️ tyre
Rim
Bush
Bearings
Plugs
Engine mount
Block
Piston and Rings
Valve
Cylinder head
Brake shoe
Master brake
Rubber
Brake
Shock ups
cable gear
clutch plates na center yake
Maker
etc
Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
Habari
Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme.
Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
HABARI WANA JF.
Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji.
Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama.
Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
Habari
Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo
Bajaji ya abiria
Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo
Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane
Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...
KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI?
⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine?
👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI, UZOEFU, MAHITAJI NA MIHEMKO YA JAMIII.
Habari ndugu msomaji,
Siku za karibuni kumekua na muamko mkubwa sana watu wengi wakivutiwa sana na biashara biashara ya spea za pikipiki na bajaji.
Hata hivyo mvuto huo unekuwa na changamoto kadhaa, mafanikio kwa wenye...
Ilivyokuwa
Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee.
Reaction ya...
Bodaboda na bajaji zimesaidia kutoa ajira kwa vijana wengi hapa nchini hivyo imepunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu (ukabaji) hapa nchini kulinganisha na miaka ya nyuma ambapo vijana ajira walikuwa hawana na hawana namna ya kupata pesa zaidi ya kuiba na kupora(kukaba) .
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.