Kupata utajiri siyo swala la bahati au ujanja ujanja, bali ni sayansi, kama zilivyo sayansi nyingine. Ili moto uwake unahitaji kupata hewa ya oksijeni, hiyo ni sayansi, kadhalika kuna vitu vinahitajika ili mtu uweze kupata utajiri, hiyo pia ni sayansi. Sayansi ina sheria na kanuni zake, ambazo...