Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imekuwa ikikuwa kwa kasi, japo hatujafikia zilipo nchi kama kenya , Uganda, south africa, Ghana na , nigeria lakini sio haba, tumekusanya zaidi ya bilion 200 kwenye mapato TRA , pamoja na faida hiyo sio ajabu kuna mahali imeacha kilio na majuto , pamoja na...