Niaje ni vipi!
Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi.
Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda.
wataalam wa mambo tusaidiane.
Chief-Mkwawa
Wakuu...
Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja.
Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.