bahati mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
  2. Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
  3. Umesha jiuliza ikitokea mpenzi wako amefariki ndani kwako kwa bahati mbaya na ukizingatia kua uhusiano wenu sio rasmi ni nini utafanya ??

    Umesha jiuliza ikitokea mpenzi wako amefariki ndani kwako kwa bahati mbaya na ukizingatia kua uhusiano wenu sio rasmi ni nini utafanya ??
  4. Unaambiwa mauaji ya Oktoba 29 hayakuwa kwa bahati mbaya

    Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo. Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika...
  5. Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  6. Heche na watanzania yanayotokea sio bahati mbaya

    Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
  7. S

    Sasa naamini kuna watu ni wa bahati mbaya

    Imagine kila unachokifanya hakiendi, tumia akili to the maximum, piga kazi sana lakini wapi.... We dunia kwani umechagua watu wa kufurahia maisha? Dunia ulaaniwe kabisa.
  8. Kuna asilimia kubwa mtoto wa kiume kuwa chapati pale anapokosa father figure ktk malezi na bahati mbaya mpira wa singomaza unarushwa kwa wadada pekee

    Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana. Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia. Mtoto anaishia kujifunza solution za maswala ya upande mmoja wa kike, mara nyingine ataenda kuishi na dada ya mama yake alie singomaza pia na...
  9. Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu). Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia...
  10. WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  11. Changamoto na mitihani unayopitia haipo kwa bahati mbaya

    Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
  12. C

    Msidhani wasomali wajinga kupigana,ni bahati mbaya tu wana viongozi kama Hersi

    Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku. Nafikiria jambo sahihi watakalofanya TFF ni kufuata kanuni kwa sasa bila kupindisha.Lakini matokeo ya wao kufuata kanuni,nina...
  13. PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

    Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning. Yaani washindwe kutatua...
  14. Pascal Mayala;Niliumizwa Awamu ya Magufuli,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa kati bahati mbaya hadi leo wapo,Magufuli hakujua hadi nilipomwambia.

    Niliumizwa Awamu ya Hayati Rais Magufuli hadi leo sijapona,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa hapa kati bahati mbaya hadi leo wapo na wanaendelea kuichafua nchi wakitumia jina la Rais,na Rais hajui!. Mayala amezungumza hali halisi. Kuna watu wanatumia jina na taasisi ya Rais kwa manufaa yao...
  15. Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  16. Tamko la Wizara ya Mambo ya Nje kujibu Azimio na Bunge la EU lazidi kuivua nguo Serikali. Ni bahati mbaya sana hawajui ngoma wanayocheza

    Tatizo kubwa zaidi kwa CCM na Viongozi wake wa kuokota okota, wanafikiri kwamba kwa namna walivyofanikiwa kuwafanya Watanzania wengi kuwa Wajinga basi Dunia nzima ni wajinga pia hivyo hivyo. Katika tamko lililotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu Azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya kutokana na...
  17. Huenda Mimba zetu zilitungwa kwa bahati mbaya, pengine hatukutarajiwa tuzaliwe.

    Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap...
  18. Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  19. Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  20. Watu hawacheat kwa bahati mbaya, kuteleza au by accident, Wana cheat kwa hiari

    Ewe mdada, Mwanaume wako atakaye cheat, atacheat kwa sababu yeye ni cheater. Sio kwa sababu eti huwezi kupika, au wewe sio mtaalamu kitandani, au mlikuwa na mtafaruku. Hakuna kitu ambacho unaweza kufanya kwa njia tofauti ili usiwe muathirika wa mwanaume wako anaye cheat isipokuwa kupata mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…