Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika...
Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka
Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
amani
bahatibahatimbaya
chupa
faida
haja
kuendelea
kulinda
kulinda amani
kutumia
machafuko
matatizo
mbaya
mkono
mwl nyerere
njia
nyerere
taifa
tanzania
vita
Salaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
Imagine kila unachokifanya hakiendi, tumia akili to the maximum, piga kazi sana lakini wapi....
We dunia kwani umechagua watu wa kufurahia maisha?
Dunia ulaaniwe kabisa.
Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana.
Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia.
Mtoto anaishia kujifunza solution za maswala ya upande mmoja wa kike, mara nyingine ataenda kuishi na dada ya mama yake alie singomaza pia na...
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia...
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio.
Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao
Bhagosha!!!
Hello wana JF;
Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine,
Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu.
Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku.
Nafikiria jambo sahihi watakalofanya TFF ni kufuata kanuni kwa sasa bila kupindisha.Lakini matokeo ya wao kufuata kanuni,nina...
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.
Yaani washindwe kutatua...
Niliumizwa Awamu ya Hayati Rais Magufuli hadi leo sijapona,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa hapa kati bahati mbaya hadi leo wapo na wanaendelea kuichafua nchi wakitumia jina la Rais,na Rais hajui!.
Mayala amezungumza hali halisi. Kuna watu wanatumia jina na taasisi ya Rais kwa manufaa yao...
Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea.
Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
Tatizo kubwa zaidi kwa CCM na Viongozi wake wa kuokota okota, wanafikiri kwamba kwa namna walivyofanikiwa kuwafanya Watanzania wengi kuwa Wajinga basi Dunia nzima ni wajinga pia hivyo hivyo.
Katika tamko lililotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu Azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya kutokana na...
Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap...
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..
Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..
Ambao Ulikuwa...
Ewe mdada, Mwanaume wako atakaye cheat, atacheat kwa sababu yeye ni cheater. Sio kwa sababu eti huwezi kupika, au wewe sio mtaalamu kitandani, au mlikuwa na mtafaruku.
Hakuna kitu ambacho unaweza kufanya kwa njia tofauti ili usiwe muathirika wa mwanaume wako anaye cheat isipokuwa kupata mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.