bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa...
  2. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Akasema; Bado tuu Una-join the Chain?

    Kwema Wakuu!! Jana nikiwa Maeneo ya Posta pale mwendokasi, kabla sijavuka ili nipande Mwendokasi, Gari jeusi nafikiri ni Toyota Fortunes ya kijivu ikasimama pembeni yangu. Kisha ikanipigia honi kutazama alikuwa ni Carlos rafiki yangu WA siku nyingi Sana. Nilipotezana naye tangu tulipomaliza...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?

    Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Tommy Dairy bado kipo?

    Habarini za kutwa Kuna kiwanda tajwa hapo juu kilikuwepo maeneo ya Kimara, naomba kufahamu kama bado kipo na kama kipo kipo maeneo gani yaani Kimara ipi na kama kuna yeyote ana mawasiliano na mfanyakazi yeyote kwenye kiwanda hicho naomba aniunganishe nae tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
  9. JamiiForums Tanzania Bado mechi 10 Yanga awe bingwa

    Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!" Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE" Sasa mimi niko na hili la pili la...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa-muziki bado pengo la marehemu Komba halijazibwa sio CCM wenyewe wala sio CHADEMA

    Wakuu Kwema. Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM. MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi. Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

    Asalaam wadau! Kauli ya Mh. Rais Jana ni kauli yenye kosa kuubwa saana LA kiufundi ambalo litagharimu saana raia ama taifa. Yaan kavita ka wiki mbili unatamka kataleta mfumuko wa bei zaidi ya huu. Mama kuwa makini na wanaokushauri. Unajua kwanini kiufundi umekosea? Kauli yako yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania HAPPY WOMEN'S DAY kina dada... tukichelewa mtusamehe bado tunaizoea sikukuu mpya

  13. JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  14. JamiiForums Tanzania Nina amani kuwa uchawi upo; je, na uganga wa kweli bado upo?

    Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia. Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi? Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
  15. JamiiForums Tanzania Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

    Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000. Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuna tatizo, wanachama wetu na wafuasi wengi hawana uwezo wa kupambanua masuala ya kisiasa

    Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo. Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini. Kila siku tunaaibika na kuonekana watu sio makini. Leo hii ni watu wa kupayuka hovyo. Mfano, tunabeza...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  19. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Zakuambiwa: Kwanini CCM wamemruhusu Mwenyekiti wao akakutane na Msaliti wa Taifa? Je, bado wanaamini Mbowe ni Gaidi?

    Chama Cha Mapinduzi Kwa miaka zaidi ya mitatu walifunga milango ya fahamu waliyopaswa kutumia kuwasiliana na Mwenyenzi Mungu kumwombea hekima wakamruhusu shetani atumie ndimi zao kupandikiza chuki baina ya wanaomwamini Mungu na wanaoamini madaraka. Viongozi kadhaa wakiwemo UVCCM walitoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…