Bado mechi 10 Yanga awe bingwa

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"

Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"

Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE

Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).
 
Kwa Yanga iliyopo Sasa Mungu akipenda bila shaka ubingwa itachukua chukua ila iki ingia ligi ya Mabingwa Afrika inahitaji winga mbili za uhakika na mshanbuliaji mwingine wa uhakika. Ligi ya Mabingwa inahitaji wachezaji wenye uwezo usio na shaka.
 
Iwapo Simba atashinda mechi zake 7 zijazo ikiwemo vs Yanga na Yanga akadraw na Azam Basi mtifuano Hadi mechi ya mwisho
 
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"

Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"

Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE

Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).

Hapo kwenye rangi kumepishana na kichwa cha habari yako uliyosema ni mechi 10 kumbe ni 11
 
Sawa utopolo. Nawapa asilimia kubwa ya kuibuka mabingwa . Lakini mjikaze kisawasawa. Mkilegea tu , inakula kwenu.
 
Asikwambie Mtu Kunyanyua Kwapa Kuna Raha yake..!

Japo Wachambuzi huwa Wanawapoza Kwa kuwaita 'Mabingwa Wa Kihistoria' kila Mwaka, Huku wakimshuhudia Mnyama Akinyanyua Kwapa...Sasa Wamechoka na hali hiyo..!

Haya ni Miongoni mwa Maruweruwe na ndogo Za Kutisha Wanazoota Usiku..!
 
And this time wanatangulia kwa baiskeli ya.miti kama kawaida yao, washaanza kuhesabu mechi mapema hivi
 
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"

Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"

Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE

Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).
Tumuombe Mola wetu atajaalie hizo pointi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tulieni msiwe na mchecheto Wananchi wenzangu. Ubingwa unakuja tu cha msingi tujiandae kishinda mechi zetu tuache kucheza mechi zao. Safari ya kwenda Africa kuwafundisha namna ya kumfunga mwarabu yeyote bila makando tena nje ndani
 
😁😁😁😁Mwarabu yupi au pyramid?
 
And this time wanatangulia kwa baiskeli ya.miti kama kawaida yao, washaanza kuhesabu mechi mapema hivi
Huko misimu yote utakuwa ulikuwa katoto, jaribu kufuatilia kipindi km hiki yanga anaongoza ligi kwa TOFAUTI ya point let say 8 lkn wakati huo Simba ana viporo km 5!!!

Msimu huu hiki kitu hakipo ko ni gap la point bila kiporo.
 
shida ya yanga ni

JOGOO LA SHAMBA HALIWIKI MJINI

mtanisamehee😏😏
 
Huko misimu yote utakuwa ulikuwa katoto, jaribu kufuatilia kipindi km hiki yanga anaongoza ligi kwa TOFAUTI ya point let say 8 lkn wakati huo Simba ana viporo km 5!!!

Msimu huu hiki kitu hakipo ko ni gap la point bila kiporo.
Usisahau kusubscribe huu uzi tukumbushane mwisho wa msimu
 
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"

Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"

Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE

Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).
Hilo kombe la mbuzi lichukueni tyu si tuko kimataiafa
 
Back
Top Bottom