bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Msiompenda Kikwete bado mna cha kujifunza kwake ili muishi maisha marefu

    Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani. Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao. Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye...
  2. Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  3. F

    Tozo bado ni mwiba kwa Watanzania

    Gharama za maisha zimekuwa zikipanda siku hadi siku. Vyakula vimekuwa juu kiasi kwamba wananchi wanalazimika kuishi maisha magumu kupindukia. Serikali imeshindwa kuwasaidia wananchi ktk kipindi kigumu wanachopitia haswa kuzuia mfumuko wa bei wa vyakula na bidhaa. Serikali inatambua wazi kuwa...
  4. Bado hatujawashinda maadui wetu watatu, limeibuka tatizo jipya katika nchi yetu

    Inasikitisha kuona watu wanakufa kwa ajili ya Nyege na Uchi so sad hivi vijana wanakosea wapi? Adui ujinga Adui maradhi Adui umaskini Adui Nyege
  5. Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  6. Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

    Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
  7. S

    Makonda bado ngoma mbichi

  8. Wazungu bado ni mabeberu na wanyonyaji. Ndo maana Magu aliwachana live

    Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala. Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote. Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo. Tunahitaji watawala jasiri...
  9. Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
  10. B

    Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  11. Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

    Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
  12. Maajabu: Niliamka katikati ya ndoto lakini bado nikabaki usingizini, na nikijaribu kujiamsha inashindikana kabisa

    Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu ku-imagine naendesha V8 nione itakuwaje, kweli bhana, kugeuza shingo naona V8 nyeusi kalii imeandikwa...
  13. Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo: Facts Checks: 1. Wamefuta Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote. Fact: Makato au kodi ya kufanya hii miamala iko juu sana hata kabla ya tozo na watu wengi walikuwa wanaiepuka hii miamala sababu ya ughali wake...
  14. Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

    Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya...
  15. R

    Ufalme na Umalkia bado uko deep-rooted katika mila na mioyo na siasa za Waingereza

    Nimefuatilia tangu kifo cha Queen Elizabeth II mpaka sasa, nimeona Waingereza wanautukuza sana tena kutoka kwenye mioyo yao, the innermost chambers of their hearts u-monarch. Bado wana imani sana na hadhi ya Monarch katika mila zao, maisha yao na utawala/siasa za nchi yao. Na wala...
  16. Beberu wa Waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake

    Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
  17. B

    Uwanja wa Sokoine bado

    Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana. Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
  18. J

    SoC02 Amka Afrika, amka mama!

    Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma, wanalia majirani zao wanawaonea, kwanini usiamke uwafariji wana wako...
  19. Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

    Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
  20. Joseph Mbilinyi afanyiwe mpango aende bungeni, huyu Tulia Mimi bado sijamwelewa

    Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu. Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…