bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  4. JamiiForums Tanzania Tofauti za Kisiasa na Kikazi zisituletee uadui, bado tuna fursa ya kulinda udugu wetu

    TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mkasa ulitokea nikaamini Tanzania hii bado Kuna watu waaminifu

    Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
  6. JamiiForums Tanzania Azimio la kuitambua Palestina lapita UN kwa kura 143. Kikwazo bado ni Marekani tu

    Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa. Katika kura zilizopigwa jana kwenye baraza kuu la UN jumla ya kura 143 ziliunga mkono,Tisa tu ndizo zilizokataa na 25 wakaamua kutopiga...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna watu wanaoamini kuwa Lowassa alikuwa ni mtu mbaya?

    Lowassa alikuwa na madhaifu yake, lakini inawezekana hakuwa mbaya kiwango ambacho wanasiasa waliokuwa wana chuki naye walikuwa wakimtuhumu. Pamoja na madhaifu yake, alikuwa kiongozi mzuri. 1. Utendaji wake alipokuwa waziri wa maji alidhihiriaha hilo. 2. Mbinu zake za kuweza kushawishi makundi...
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ule msemo wa "akili atatumia zangu" bado unafanya kazi??

    Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha 😆 Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist 😜😜😜 Vice verse...
  10. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Hata kama ajira hakuna, bado hatupaswi kuwananga na kuwakatisha tamaa wahitimu na waliopo bado masomoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema vibaya wahitimu. Huwa najiuliza, hao wanaokaa vijiweni na kuanza kuponda wanafunzi wa vyuo kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo moto huko mtifuano bado unaendelea

    Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
  15. JamiiForums Tanzania William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mashaka Marura: Mzaliwa wa 1933 ambaye bado yuko fiti, awathibitishia waandishi Dodoma

    Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika kwa ajili ya kuipamba siku ya uhuru wa habari duniani. Mbio hizo zimefanyika Mei Mesi, na...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Hela ya malipo ya transcript imelipwa lakini bado NACTE hawataki kuitoa

    Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT. Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
  18. JamiiForums Tanzania Bado zipo sababu kwa familia ya Lissu kuishi Ulaya? Je Lissu haoni kuwa jambo hili linampunguzia uzito kisiasa?

    Najua, Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi! Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane ni wanadamu na mambo yetu ili yawe sawa, tunahitaji kuwa na migongano ya kifikra na hatimaye kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Matola yeye bado yupo Simba?

    Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo. Ngoja tuone .
  20. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…