bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni wa CHADEMA masalia bado wanaendelea kuota

    Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiwe huru kupitiliza kupost "Anonymous" kwenye magroup ya facebook, Admins na Moderators bado wana uwezo wa kuwajua,

    nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu. Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la 1: Mishale ni michache, vita vinaendelea. Piga wakati ardhi bado inalia.

    Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19 Hubiri langu la kufafanua andiko kuu. Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

    Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

    Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali. Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  9. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  10. JamiiForums Tanzania Ngoma bado mbichi UWT K'njaro, wagombea walioenguliwa waanika mtandao wa rushwa

    Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe . Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Licha ya kumtishia uhai bado yupo na ujasiri na kujiamini na kuwatisha wanao mtisha Je wa mjua ni shujaa Gani anaeogopwa na wenye kumiliki silaha

    Ndugu zangu watanzania, Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania bado tunahali ngumu sana

    Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo ♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40 kwa miaka minne tu ♧ pamoja kuwa na rasilimali nyingi lakn bado tunategemea misaada kutoka nje...
  14. JamiiForums Tanzania RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

    Habari Wakuu Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani. Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi! Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao! Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani...
  15. JamiiForums Tanzania Kweli nimekubali "SEX SELLS"

    Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa. Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  17. JamiiForums Tanzania Tuwe na Kiasi Kwenye Kuwasema na Kuwajadili, Maana Siasa Muda Wowote Mambo Yanabadilika! Hasa Kati kipindi Hiki Tanzu! Bado ni Asubuhi Sana!

    Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe, Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa! Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
  18. JamiiForums Tanzania Utumishi Niliingia Oral Interview Lakini Bado Sioni Jina

    Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka. Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere bado upo na utaishi sana

    Habari ! Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi. Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…