Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19
Hubiri langu la kufafanua andiko kuu.
Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali.
Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais...
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe .
Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea.
Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote.
Mungu hayupo hivyo...
Ndugu zangu watanzania,
Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii
Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo
♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40 kwa miaka minne tu
♧ pamoja kuwa na rasilimali nyingi lakn bado tunategemea misaada kutoka nje...
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani...
Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa.
Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe,
Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa!
Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka.
Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa...
Habari !
Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi.
Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ
Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Nguvu nyingi wekeza kwenye kujua unataka nini ili usiendelee kusumbuka na kila chaguo linalopita mbele yako kwa sababu unaweza kusema hujaona chaguo lako kumbe tayari lilikuja ukapishana nalo kwa kutolijua.
Wengi tunawekeza nguvu nyingi kwenye kutafuta lakini hatujui tunachokitafuta kikoje ndio...
Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!!
Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo...
Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote.
https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.