babu tale

Hamisi Shaban Taletale, also known as Babu Tale (born 31 December 1982), is a Tanzanian talent manager and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Morogoro South constituency since November 2020. He is the co-founder of the WCB Wasafi music label. Tale represents artists including Diamond Platnumz, Madee, Rayvanny, Mbosso, Rich Mavoko, and Dogo Janja. Through Rayvanny, Tale was the first manager to bring BET Award wins to Tanzania and the first in Africa to win MTV Europe Music Awards for both "Best African Act" and "Worldwide Act" through Diamond Platnumz's major win in 2015. He helped to build names for Bongo Flava now-owned music stars such as Tundaman, Mb Doggy, Keyshia and Z Anto.

View More On Wikipedia.org
  1. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz! Babu Tale...
  2. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

    Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa anachukua Form mwenyekiti akimkubali basi ndio anakuwa mbunge, maana hakuna uchaguzi wa haki uliotokea...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

    Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Babu Tale amuomba Waziri ampunguzie kazi ya kuzuia mvua

    Tunaofanya burudani za viwanjani tumekuwa tukipigia sana simu Babu zetu vijijini wazuie mvua, katika hotuba ya Waziri sijaona akisema ujenzi wa Sports Arena, hakuna msanii asiyejua kama mimi ndiyo naongoza kufunga mvua, Waziri naomba unipunguzie hii kazi". ====== Mbunge wa Morogoro Kusini...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

    Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale. ====== Mbunge wa Jimbo...
Back
Top Bottom