babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  2. I

    Israel yashambulia “vituo vya Hezbollah” nchini Lebanon, na kusababisha mlipuko mkubwa

    Jeshi la Israel limesema limelenga vituo vinavyodaiwa kuhusishwa na Hezbollah nchini Lebanon, hatua iliyosababisha mlipuko mkubwa katika eneo hilo. https://www.instagram.com/reel/DVeHhHqD6Zf/?igsh=anMzbmlsNTlmYm5u
  3. bwawani90

    Wenzake na Mwanangu wanamtania "Huyu ni Babu yako"

    Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu. Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako? Binti nikamuina alijisikia vibaya sana. Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia...
  4. ngara23

    Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  5. Fbn

    Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

    Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran. 😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.
  6. Kimbesa11

    Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Babu yetu Tambitambi ameongeza mke wa nne jana

    Kweli ng’ombr hazeeeki maini
  8. Abdul Said Naumanga

    TBT (2011): Mnamkumbuka Babu wa Loliondo?

    Mwaka 2011 historia ya Tanzania iliandika ukurasa wa kipekee uliojaa matumaini, mijadala na sintofahamu kubwa. Katika kipindi hicho jina la Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile, maarufu kama “Babu wa Loliondo,” lilitawala mijadala ya kitaifa na kimataifa. Babu huyo kutoka kijiji kidogo cha...
  9. macho_mdiliko

    Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

    Dar could buy Dowans under proposed law Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of government procurement laws to allow the purchase of secondhand plants and machinery to tackle the...
  10. Mshana Jr

    Hofu ya babu yangu

    Kumbukizi ya picha.. Reflection ya wakati tulionao.. Tafakuri ya yanayotokea Tanganyika.. Simanzi ya yajayo🤔🥺
  11. Now and then

    Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  12. Waufukweni

    GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  13. Sifi Leo

    Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  14. vnn

    GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  15. fimboyaukwaju

    Babu Marcio Maximo arejea tena Tanzania

    Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
  16. Webabu

    Waarabu wa leo wala hawafanani na babu yake mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake

    Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe Ismaili.Katika historia ndefu ya nyumba hii ni kwamba imewahi kupitia mikononi mwa makafiri na washirikina...
  17. October 2pm

    Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

    Na Bado! Oktoba tunanayo! Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie...
  18. figganigga

    TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

    Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii. April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni...
  19. GENTAMYCINE

    Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  20. W

    GE2025 Kaka wa Babu Tale, Iddi Shaban Taletale autaka udiwani wa Makurumla, Ubungo kupitia CCM

    Iddi Shaban Taletale ambaye ni Kaka wa @babutale amechukua fomu tayari kujitosa kuwania Udiwani Kata ya Makurumla Ubungo jijiini Dar Es Salaam. Source: Crown TV
Back
Top Bottom