baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa baba au mama wa familia halafu familia nzima inamsikiliza mtu wa nje kabisa na familia utajisikiaje?

    Kama walivosema Roma haikujengwa kwa siku moja basi pia ni sahihi kwamba Roma haikuanguka kwa siku moja, ilikua ni process iliochukua muda. Na kama kawaida process yoyote inayochukua muda fulani huonesha wazi dalili za matokeo ya mwisho. CCM imetawala Tanzania kwa muda mrefu sana, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Tetemeko limepita Butiama saa 16:34. Je, ni ardhi ya Baba wa Taifa imechukia?

    Habari ndo hiyo wadau, sasa sijui ndo ishara hizo za kukinukisha.
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

    Salaam, Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari.. Haikuwa kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

    Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani? Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha makubaliano kwahiyo wenzao wameamua kuwamaliza? Maana wakati mwingine nao ndugu zetu bodaboda...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kanye North: nitapenda kumchagua baba kuliko Mama

    Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja. Anasema: “Nitamchagua baba yangu siku yoyote ile nikiulizwa. Baba yangu ndiye shujaa wangu. Baba yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

    Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli. Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao. Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa members wake ndio wanaoratibu kila kitu kwa sasa kwenye CCM. Na kuna yule asemwi lakini ndio alikuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kikwete alikuwa anasuka ukindu baada ya kustaafu uDC

    Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya. Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao. Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe). N. B. Ndiyo maana marekani...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  12. JamiiForums Tanzania Hamtaki mtoto aende kwa Baba ila matumizi mnataka hivi mmerogwa au shida nini?

    Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote. Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hapa utasema ni kosa la baba kumtelekeza mtoto ?

    Kulikuwa na bwana mmoja aliyeishi na mke wake, lakini siku moja wakazozana. Kama ilivyo kawaida wakati mwingine wanawake wakiwa na hisia kali, hasa wanapokasirika husema mambo mazito, mke alimwambia kuwa mimba aliyobeba si yake na akamtaja mwanaume mwengine ndie aliemjaza mimba huku akitoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kidonda Cha operatio kwenye korodani hakiponi baba yangu Umri 65,ana BP na sugar

    Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation, Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani, Sasa amekua...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  19. JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…