baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wimbo: Elimu Dunia by Daz Baba

    DAZ BABA - ELIMU DUNIA. VERSE.. ( AFANDE SELE) We ni mfungwa sasa 'si mtu huru/ Ukilalamika sana utakuwa kama unakufuru/ Tu..!! Lazima ujue sisi ni vifaranga na maisha ni kama mwewe/ Mama yetu ni elimu’ ulio mkataaga we mwenyewe/ zamani..!! Ulimkataa elimu ya duniani 'ukampiga hadi mwalimu...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

    Baraza la Mapinduzi la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei (Mtoto wa Ali Khamenei- RIP) kuwa kiongozi mkuu wa Iran. Ali Khamenei alimlea akimlea na kumwandaa kwa miongo kadhaa mwanawe mwenye roho mbaya, Mojtaba, ili awe kiongozi mkuu ajaye. Yeye ni mbaya zaidi kuliko baba yake.
  3. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAI: Uwezo kwenye Utambuzi wa Picha ya baba wa taifa (nyerere)

    JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
  4. JamiiForums Tanzania Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

    Part one Najua haya maandishi tunayoandika humu yataishi na kusomwa humu hata baada ya sisi kuondoka Duniani miaka 50 ama 100 ijayo. Hivyo yanalengo la wengine waweze kujifunza. Wewe Mwanaume, kama halijakutokea leo, basi kesho linaweza kukutokea maana kwa utafiti wangu mdogo, huu mchezo...
  6. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira amtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa, Februari 18, 2026

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Nani anahusika na kutunza kumbukumbu na Historia ya Baba wa Taifa?

    NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA? JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954 Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia picha ya jiwe linalotumika kama kumbukumbu kueleza nyumba ambayo alifikia Mwalimu Nyerere, Mtaa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Baba Levo masharti ya mikopo naongezea na riba

    Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏. Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo Japo siyo wote ....
  10. JamiiForums Tanzania Baba akiniulizia muambie nimetoka nitarudi wiki ijayo. Uwaangalie wadogo zako

  11. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Vijana hawataki Konakona wanataka hela, punguzeni masharti ya kukopa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa vijana wengi kunufaika na mikopo hiyo. Akichangia bungeni jijini Dodoma leo, Februari 3, 2026, mbunge...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa baba utaelewa kwanini baba yako alikuwa hakwambii makosa ya mama yako

    Ukikaa na baba yako huwezi kujua makosa ya mama yako wala hawezi kukuambia makos a ya mama yako na kasoro zake Ila ukikaa na mama yako utajua makosa ya baba yako na utajua kasoro za baba yako Sasa ukikua ukawa baba ,ama siku ukaitwa baba , utaelewa kwanini baba alikuwa kimya hakutaka kukuambia...
  14. JamiiForums Tanzania Baba Boni: Imani yetu ni kubwa, Chadema inaenda kuishika nchi, Mungu anaipenda

    Amesema Mzee Emmanuel Zakaria (Baba Boni) Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA jimbo la Arusha Mjini
  15. JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nimsaidie pesa mke wake

    Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja. Huyo mama ameshatengana nae, hapo juzi alikuwa na shida akanitafuta kwenye simu nikamsaidia pesa kiasi, sasa sijajua baba kajuaje...
  16. JamiiForums Tanzania Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto

    Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto. Hatucheki na wapumbavu wakatafute wapumbavu wenzao huko wakae wapige zogo sio sisi. watu hawa wanapaswa kutengwa kwa sasa kama wanafikiri mziki ni...
  17. JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

    Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA? Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini? Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa? Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
  18. JamiiForums Tanzania MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀.

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale ‎bustanini? ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya mwanadamu. Mungu...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  20. JamiiForums Tanzania Baba Mkwe ananidai Mahari

    Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…