baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Baba anayepata Mtoto Njiti kupata Likizo ya Siku 7

    Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki 40 baada ya Mama kujifungua huku Baba wa Mtoto njiti akipewa likizo ya siku saba badala ya likizo...
  2. JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  3. JamiiForums Tanzania Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

    Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
  4. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

    Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
  7. JamiiForums Tanzania Baba mzazi,Djaro Arungu

    Huyo mtangazaji wa tbc ni mbunifu sana,na ndio maana huwa anachukua tuzo ya mtangazaji bora afrka
  8. K

    JamiiForums Tanzania Usia wa Baba

    WANANGU WOTE ZINGATIENI ELIMU KWA MAANA ELIMU NDIYO MAISHA YENU MAZURI YA KESHO YENU KUIKOSA ELIMU NI MATESO KWA MAISHA YENU YA KESHO. Tukisoma Kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 148 Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema Elimu ni Kama Mlima mkubwa unaofika mawinguni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiombewa na Baba yako mambo yanafanikiwa au Baba ndo Mungu mwenyewe ?

    Wakuu huu ni ushuhuda. Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali . Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka. Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata. Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wanajua madhaifu ya baba tu, kwaninii?

    Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja, Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii? Kuish na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbinguni kumuona Baba siyo kwa njia ya Betting muelewa hilo

    Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet. Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari? Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba unaweza kutendq dhambi kama kuzini, kuua nk halfu ukaendq ku bet na automatically ukaend mbinguni...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipomkosoa baba wa Taifa na muungano alisakamwa sana. Hayati Magufuli mbona hana watetezi kama wengine?

    Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias . Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

    Mali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Said ni nani humu JF ambaye wanaamini ndiye Baba wa members wote?

    Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi isiwe Komeo la Chuma Ali au Ngendembwe John. Ila mmeamua iwe 1. Komeo la Chuma Said 2. Kizuio Said...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
  17. JamiiForums Tanzania Busara kutoka kwa baba tajiri

    Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa kazi akili yako itaanza kufanya kazi kama akili ya mwajiriwa. Kama ukianza kufikiri tofauti kama mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  19. JamiiForums Tanzania KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

    Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti. Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
  20. JamiiForums Tanzania Baba niruhusu nizae

    Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa. Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…