INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
17,057
18,406
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
 
Hesabu ulipata ZIROOOOO
 
Mkuu nimekusoma. ila ni kweli wakati mwingine inachanganya. Taitzo sisi hatuna system yetu wenyewe ya ku calculate age. Nimeona hiyo ya kichina nayo ukiileta kwetu sijui kama wazazi wa Kitanzania tutaikubali.
 
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
Oct 1999 - Oct 2000: mwaka 1
Oct 2000 - Oct 2001: miaka 2
Oct 2001 - Oct 2002: miaka 3
|
(jaza mwenyewe hapa kwa mtiririko wa hapo juu hadi ufike Oct 2019 utakuta ni miaka 20!!)
 
Mkuu tafuta visoda 2019 halafu nambie nije tuipige hiyo hesabu fasta isitake kukuzengua.
 
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
 
Attachments

  • Screenshot_20191021-195419_Chrome.jpg
    Screenshot_20191021-195419_Chrome.jpg
    89 KB · Views: 1
Back
Top Bottom