baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Askari atakayewanyanyasa bodaboda na bajaji Kigoma Mjini atatafuta nyumba ya kwenda jimbo lingine

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, leo ameanza rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025-2030. Uzinduzi wa kampeni hizo ulifanyika katika Viwanja vya Mwanga Community Center, ambapo Baba...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo aulizwa swali na mwananchi, 'Kiingereza haujui utaelewaje mikataba?'

    Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Niacheni nikafanye uchawa lakini Kigoma ipate Maendeleo

    Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Kigoma wamejitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge Baba Levo

    Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini. Soma Pia: - GE2025 - Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 7media ya Baba Levo wamepata ajari ya gari Morogoro wakitokea Kigoma

    Gari aina ya Alphard lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Kituo chetu cha 7 Media limepata ajali mkoani Morogoro, wakitokea Kigoma kwenye mapokezi ya mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Clayton Revacatus Chipando (Baba Levo) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho. Kwa neema ya Mungu, watu wote...
  7. JamiiForums Tanzania Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  8. JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Zitto zuberi Kabwe a.k.a Mwami Ruyagwa na Revocutus cleyton chipande a.k.a Baba Levo?

    Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa ufatiliaji wako wa siasa unaona nani anafaa kuliwakilisha Jimbo la Kigoma mjini katika...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto akitaka kulinda kura tutampa zake azishike mkononi

    "Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ameyakanyaga kwa Baba Levo huko Kigoma Mjini

    KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo. Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama. Zitto ni msomi sana...
  12. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

    Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Uchaguzi ukiwa fair fair Zitto Kabwe hatoboi dhidi ya Baba Levo Kigoma.Labda Serikali imbebe kwa kuzuga No reform kwamba upinzani nao wameshinda

    Jimbo la kigoma ni gumu sana kwa zitto kabwe kushinda kwa kura za fair fair Mgombea wa CCM Baba Levo ana nguvu sana kigoma
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Ingawa ni uchafuzi; kwa moto wa Chawa Pro Max (Baba Levo); Kijicho Upembe asipokimbia mpambano nipigwe ban ya milele JF!

    Historia imeandikwa, Revocatus Chiponda (Baba Levo aka Chawa Pro Max), amezipiga bao husda na hila za Maalhaji wa Ujiji! Kwanini namkubali Baba Levo? au ni kwanini anakubalika na wanakigoma? (Ukimuangalia kwa miwani ya uchawa huwezi kuona hizi sifa) 1. Pragmatic (ni mwalisia wa mandeleo)...
  16. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa

    DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Baba Levo amerudi hewani baada ya matokeo

    Baba Levo amerudi kuzungumzia uchaguzi wa ndani baada ya matokeo Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…