Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala.
Katika ziara hiyo, Mh. Chipando...