baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais wa Guinea-Bissau akamatwa siku tatu baada ya uchaguzi

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika. Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias...
  2. PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  3. Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  4. Bora vyuo vikuu vingeanza baada D9

    Watoto wetu hatujui hatma yao
  5. Larry Madowo aposti anacheka baada ya Serikali kuja na hoja zisizoeleweka wala kukanusha ripoti za CNN

  6. Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  7. Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  8. PostGE2025 Samia alikuwa na uwezo wa kujenga kukubalika baada tu ya kuwa rais na angeweza kuwashinda upinzani lakini uwezo mdogo umempeleka pabaya

    Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
  9. Mwenzenu Nina maumivu makalii baada ya kuzama chumvini... Msaada jmn!

    Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa... Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa...
  10. S

    Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  11. PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  12. C

    Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

    Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
  13. M

    Uliwahi fukuzia basi kwa boda au Taxi baada ya kuachwa stendi ?

    Ilishawahi kukukuta ?
  14. PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  15. Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  16. W

    PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  17. SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  18. Y

    Mrejesho baada ya kulala na muathirika wa VVU

    Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
  19. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  20. Maisha baada ya kustaafu

    Waziri Mkuu mstaafu akiwa katika pozi la picha. Kumbe naye sio mnyonge kwenye mapozi ya picha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…