baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada – Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  2. JamiiForums Tanzania X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

    Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyopiga simu kwa Kadogosa baada ya kupewa tuzo ya 'Mwanamke Kinara'

    Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanjala atangaza mpango wa maboresho makubwa Uwanja wa Sokoine baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa MREFA

    Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

    Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  9. JamiiForums Tanzania Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  10. JamiiForums Tanzania DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
  11. JamiiForums Tanzania Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

  12. JamiiForums Tanzania Nakumbukaga vijana walivyoumia baada ya kujua kuwa shujaa wao mastermind michael scofield ni shoga😂

    Nafikiri hakunaga TV show ya kizungu illioifikia umaarufu kama wa prison break hadi sasa. Watu walimkubali sana scofield, jinsi gani alivyotumia akili yake zaidi ya nguvu katika kujinusuru yeye na wenzake . Baada ya muda kidogo mwaka 2013 tukaja tukasikia jamaa amejitangaza kuwa ni gay, aisee...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  16. JamiiForums Tanzania Camala kama Manula, wamefungwa baada ya kutoka tu majeruhi.

    Mtampangaje kucheza mechi kubwa mchezaji anaetoka majeruhi? Kama Camala angepona na kucheza derby na Yanga na kufungwa bao lile alilofungwa na Al Masry watu wa hivihivi wangesema amehongwa na Yanga. Manula ndicho kinachomsumbua hadi leo. Kwa maoni yangu, angedaka Ally Salim huenda tofauti...
  17. JamiiForums Tanzania Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

    Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda Picha moja nzuri sana Nasikia wenzake walimuonea sana wivu. Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli. Sasa hata hajulikani...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

    Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
  20. JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…