baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaanga Russia na Marekani warejea duniani baada ya miezi tisa

    https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
  2. JamiiForums Tanzania Nakumbuka siku Mbowe alipotaka kulitumia kanisa kutaka kuvunja katiba na akashindwa.Sijui itakuwaje kwa Lisu baada kanisa kurudi tena.

    Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani. Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya AMANI imeanza kumalizwa nguvu baada ya watu kuuliza na HAKI je?

    Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania. Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu. Hata...
  4. JamiiForums Tanzania Matukio saba (7) ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa msalabani

    Matukio saba ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa saa sita mchana huko Goligota. 1. Giza Kutanda Mchana (Saa Sita hadi Saa Tisa) Katika Injili ya Marko 15:33 na Mathayo 27:45, inasemekana kuwa giza kuu lilitanda juu ya nchi yote kuanzia saa sita hadi saa tisa (saa 12:00 – 3:00...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu ameitwa mhaini baada ya kumsifu Kambona

    Kambona alikuwa anaitwa mhaini. Halafu Kambona aliondoka nchini. Kambona alikuwa ameshinda bahati nasibu ya kimataifa, akapata hela nyingi akaamua kuondoka Tanzania. Halafu akafika Nairobi. Jomo Kenyatta akampigia simu Mwalimu akamwambia tumemkata raia wako mmoja ana hela nyingi sana. Tufanye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  8. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 14 hatimaye Fid Q ameamua kumjibu Rado (usiulize) diss track

    Hili bifu limemtafuna Fid Q kwa muda mrefu na wimbo wa usiulize ndio diss track namba moja Tanzania ukimlenga moja kwa moja Fid Q Je kuchelewa kujibu kwa Fid ni uoga au alikosa muda? amekosea timing au ndio wakati wake? upande wangu nasubiri comeback kutoka kwa rado
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
  13. JamiiForums Tanzania Mahmoud Khalil, Muongozaji mkuu wa maandamano ya #freepalestine anaelekea kupigwa teke la deportation baada ya mahakama kuidhinisha.

    Safi sana Trump, Sasa arudi nyumbani kwimba tumsaidie kuandamana tukiwa huku.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu mechi ys Simba na Yanga ambayo iliahirishwa katika mazingira ya utatanishi baada ya Simba kugoma kufika uwanjani?

    Habari wadau! Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga. Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi? Na kama kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Dimitri Payet kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji

    Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake mwanadada Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba. Nyota huyo wa zamani wa klabu ya West...
  16. JamiiForums Tanzania Unyakuo ni nini? Je, watakaoachwa duniani baada ya unyakuo, watapatwa na nini?

    Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)! Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili

    Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
  20. JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…